Sio Rwanda tu! Hata Bongo wapo!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,960
nani kasema jeshi letu halina warembo?

Sasa ona hii..

 
Tee Bag njooo ufananishe na wale watu wako wa ISIS..!
 
Last edited by a moderator:
Mbona hawa kama Operesheni miaka hamsini
 
Mbona hawa kama Operesheni miaka hamsini

wale wa kwa mujibu wa sheria eenh?

wamesimama sana lakini!

Kuna video nnazo kwenye PC aisee wanahenyweshwa vibaya sana!
 
Wajeda wengi sura zao huwa ngumu ka ngiri wamenuna makunyanzi yamejaa kuliko ngiri
 
huyo white km namjua vile!!!! Hawa wote mujibu hakuna Askari hapo saiv usistaduu kwa kwenda mbele pale Udsm
 
Mkuu Excel nipo hapa , hapa wapo kwa ukakamavu au kwa ulegevu? maana jicho nyanya wtt

Hao wako kwa ulegevu zaidi..

unawafananisha na wale wa ISIS?

hawa ni visu balaa!
 
huyo white km namjua vile!!!! Hawa wote mujibu hakuna Askari hapo saiv usistaduu kwa kwenda mbele pale Udsm

ila mkuu asikwambie mtu, hawa wamepewa mafunzo ya kukata na shoka aisee!

wamezimia sana hawa warembo kipindi cha mafunzo...
 
wale wa kwa mujibu wa sheria eenh?

wamesimama sana lakini!

Kuna video nnazo kwenye PC aisee wanahenyweshwa vibaya sana!

Wanaonekana ni wale kwa mujibu wa sheria. Ila wanzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…