Sio ridhiki

1st to reply,,,,ina wezekana au isiwezekane cz anaweza kuta ana vaa ya mkewe
 
Chachandu hizoo!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hao ndo wanaoshindwa KUJIKAZA, hatimaye hujikuta WANAKAZWA................nipe namba zao NIWAKAZE
 
hapana nilikuwa nashangaa wanaume wa msumbiji wengi wanamakalio makubwa best yangu alivyoniambia wanavaa shanga na ni kawaida duh kweli wanafaidi wapenzi wao
Kiukweri Mwanaume Wa Kiafrika kuvaa shanga Haipendezi

Naisi Kuna lingine linalosababisha wavae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…