Sio muda naanza kufufua makaburi

Mbona iko clear tu . someni taratibu 😀. kasoma Kenya na Uganda unategemea kiswahili atakijua kweli.
 
Mmoja wapo ni mimi, na kero zaidi ni matumizi ya herufi L na R .
kiswahili fasaha ndio kinazidi kupotea kwa kasi sana.
Kiingereza kilishatushinda, Kiswahili nacho taabu, lugha za mama ndo hatuna hata fununu. Yaani tupo tupo tu tunadunda 😁😁😁
 
Asante mkuu
 
Kwani we nimgeni na elimu ya afrika??
Mwenzangu usisingizie elimu ya Africa Wala Tanzania ujinga wako mwenyewe hakuna mwalimu anaefundisha shule sili badala ya siri,wengi wanachanganya L na R na H,Dh na Z au kuunga neno.

Huwa najiuliza wenzetu mlisoma shule zipi?!! Mbona hata sie tumesoma Kayumba Ada elfu 7 kabla Hayati Mkapa hajaamua Elimu bure.

Tulikuwa na somo la Imla,Kusoma na kaundika.

Kwa kweli jifunze yaani hata kusoma Inakera flani hivi.
 
Mwenzangu usisingizie elimu
Anataka kusingizia elimu ya Afrika kwa upuuzi na ujinga wake? Hawa ndo wale badala ya kusoma walikuwa wanawaunguza wenzao na mbegu za ubuyu darasani.
 
Mkuu umetupiga handcap:
Kwanza story ni ya uongo.
Pili huwezi kuandika, b4 nilijua tatizo la L na R lipo kwenye matamshi pekee, nimeshangaa kuona mpaka kwenye maandishi umefeli. Rudi darasani aisee.
 
Aisee hii hadithi ni kama movie ya TENET tu unarudia mara mbili mbili huelewi🤣
 
Nilikuwa nimesha kukamilishs mipango yote kwa WEMA na ilikuwa ni muda tu wa ratiba yake iwe sawa nikutaarifu ili utimize ile ndoto yako.

Sasa hizi habari za mara Glory sijui Grace naona km zitaniondolea uaminifu.
 
Sikuzote Walaji wa Senene Ni Wagumu Kuelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…