Sio mpenda movie sana ila hizi mbili zimenivutia

Ni ya kwaida kama zilivyo marvel movies zingine. Ukitoa kua dominted na black characters kwangu haina kingine cha kushtua interm of actions, dialogues even location. Kwangu Marvel movies hizi ni bora kuliko BP.
1. Batman vs superman dawn of justice
2. Guardian of the galaxy
3. The Avenger infinity war
4. Thor Ragnarok
 
Hiyo Batman V Superman Ni Ya DC Na Si Marvel Mkuu!

Kuhusu Black Panther Ni Movie Moja Kali Sana Ya Mwaka Huu! Na Imeuza Sana Pamoja Na Infinity War. Na Pia Naweza Kusema Hata Hiyo Infinity War Imechangiwa Mauzo Na Black Panther Kwa Kiasi Kikubwa!
 
Hizi movie
1.avengers infinity war 2018
2.captain america the winter soldier
Zimenivutia sana kama nyingne unafaham yenye maudhui kama yaliopo kweny movie hizo bandika hapa.

3. Wema In Action.....ni sinema ya ngono aliyocheza Wema
 
Science fiction movies sijawahi zipenda.

Chukua hizi muvi mbili kaangalie kama hujawahi ziona.

1. Eye in the Sky
2. The 12th Man

Niletee mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom