Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,224 Reaction score 39,937 Feb 7, 2016 #2 Pakaa!!! au mtu???
Gemmy JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 1,211 Reaction score 822 Feb 11, 2016 #3 Ndio maana paka wa siku hizi anaweza akaramba maziwa pamoja na panya wakacheza wakafukuzana maana nao wamekuwa kama jamii ya herbivores
Ndio maana paka wa siku hizi anaweza akaramba maziwa pamoja na panya wakacheza wakafukuzana maana nao wamekuwa kama jamii ya herbivores
Kisima JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,446 Reaction score 5,461 Feb 11, 2016 #4 Naona jipaka linafyonza utamu kwa raha zake utafikiri Predeshee Masamaki ndani ya serikali ya kikwete!
Naona jipaka linafyonza utamu kwa raha zake utafikiri Predeshee Masamaki ndani ya serikali ya kikwete!
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Feb 11, 2016 #5 Na sungura akila nyama......!
Malampaka1 Member Joined Dec 11, 2014 Posts 19 Reaction score 3 Feb 11, 2016 #6 Mwacheni apate roho inapenda