MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Maneno ya ukweli wangekuwa wanasikia wangebadilika......utawasikia "wanaume wamezidi kutongoza kwani akikutongoza ukakataa atakubaka? na unajua kabisa ni mume wa mtu,ila wengine ndo wanachukua advantage kuolewa kitu kingine bwana huwa wanataka kujiupgrade angalau naye aolewe,mwanaume kwa mke wake hajawahiomba tigo lakini kimada anatoa tena bila kuombwa,wengine toka wameanza kutoa hiyo kabang hata ahadi ya kununuliwa kiwanja tu hawajapewa na kabang wametoa mwaka mzima halafu huku akitapa kuwa amemkamata mume wa mtu jamani..........bila kutumia akili kabang italiwa na kiwanja usinulnuliwe akikuchoka anarudi kwa mkewe anajitilisha huruma mkewe anamsamehe na maisha yanaendela!mmmmh kazi kweli kweli
Maneno ya ukweli wangekuwa wanasikia wangebadilika......utawasikia "wanaume wamezidi kutongoza kwani akikutongoza ukakataa atakubaka? na unajua kabisa ni mume wa mtu,ila wengine ndo wanachukua advantage kuolewa kitu kingine bwana huwa wanataka kujiupgrade angalau naye aolewe,mwanaume kwa mke wake hajawahiomba tigo lakini kimada anatoa tena bila kuombwa,wengine toka wameanza kutoa hiyo kabang hata ahadi ya kununuliwa kiwanja tu hawajapewa na kabang wametoa mwaka mzima halafu huku akitapa kuwa amemkamata mume wa mtu jamani..........bila kutumia akili kabang italiwa na kiwanja usinulnuliwe akikuchoka anarudi kwa mkewe anajitilisha huruma mkewe anamsamehe na maisha yanaendela!
JF Moderator 1 asante kwa kuizoom huo ujumbe