Sio kweli kuwa walimu wote walifeli mitihani

Sio kweli kuwa walimu wote walifeli mitihani

kwel hakuna kuplan kua mwalmu wapo baadhi ya ya watu wanaplan Lkn asimilia kubwa inatokana na uwezo wa family Kua mdogo....
 
Mmi nilifeli nikajiunga ualimu nikaunga hapa na pale na Leo nafanya MA yangu katika chuo bora zaidi Tanzania na coursework nimemaliza na nimepata first class. Sasa kufeli is too relative concept
 
Mmi nilifeli nikajiunga ualimu nikaunga hapa na pale na Leo nafanya MA yangu katika chuo bora zaidi Tanzania na coursework nimemaliza na nimepata first class. Sasa kufeli is too relative concept
 
Mie ni mwl kama jina linavyoonesha hapo juu but sikuwahi feli, maana o_level Nina div two na advance div one, sasa nashangaa watu wanajadili out of facts, walimu wengi wa secondary wenye degree wana ufaulu mzuri tu tena kuliko hata wanaojgamba humu ila tu kuna sababu mbalimbali zinazopelekea watu waende teaching, mfano mie katika familia yangu kabla ya Mimi na wadogo zangu kusoma tulikuwa na mtu mmoja tu aliyesoma tena kasoma sheria ,mm nilikuwa na mpango wa kusoma sayans ya mazngira ama sociology ila huyo brother KWA uzoef wake alioona wenzake waliosa sheria wanavyoteseka akashauri tusomee ualimu ili kumpunguzia yy mzigo!!
Mkuu hapana haiwezekani kabisa umepata div one ukosome ualimu hiyo kitu ni ngumu. Namfahamu jamaa mmoja tu alipata 1.4 a level ndo akafanya hivyo
 
Labda waseme walimu weng wametokea katka familia maskni hsa za vijijin
 
walimu wengi ni mediocre kwa sababu walilazimishwa either na hali yakimaisha au ufaulu mdogo.tusidhani wote nikwa sababu ya ufaulu..lkn mbona maisha matamu ukiwa
na kadegree..mara nyingi walimu wa sayansi wenye diploma na degree hawakupata ufaulu mzuri.wanaopata ufaulu mzr wanaeda kada za afya uhandisi nk.kwa walimu wa arts wengi wamefaulu vzr ila course zao nyingi ni majanga inabidi wakimbilie ualimu
 
serikali ipitie vizur vyet vya walimu waliopo kazn..kinacho nifanya niamini walim sio km walifeli Bali Wenda walifoji vyeti vyao haiwezekani mwalim uwe muoga kazini tena hujiamini kwa hili ni vgum kuamin kama kweli una CHETI halali.....kama kweli ulisoma mwenyewe chuon naukafaulu kwann usijiamin?!
 
Back
Top Bottom