Sio kweli kuwa walimu wote walifeli mitihani

Chezea chuo kikuu cha UDSM wewe

Nashapata jibu kwamba na wewe pia ulifeli
 
Ni kweli kama walimu walifeli bs Nyerere nae pamoja na Mwl.Magufuli basi walifeli
 

Bora hii mada yako mdau imepita kwa amani maana wangekuja wale jamaa zetu waliosoma pasipo elimika wangeanza kuporomosha maneno ya kejeli pasipokuwa na uhakika.

Sijui ni nani aliyewanywesha sumu! idadi kubwa ya walimu hasa wa sekondari wamefanya vizuri ktk masomo yao na ktk field pia. Na hata hao wa msingi wapo ambao wana masters na phd! sasa baadhi ya vitoto vya mama vinaleta madharau kwa walimu wao! ni ukosefu mkubwa wa adabu.
 
Dada yangu alipata division one form six.....lakini ilimbidi akasomee ualimu kwa ajili ya kupata mkopo
 
Yani.mtu alofaulu vizuri akawa mwalimu? Dah kaa.wapo ni zaidi ya.wachache. Hivi uliplani.toka mdogo kweli kuwa mwalimu? Ulifurahia kuchaguliwa kusomea elimu(ualimu) na unainjoy kuwa mwalimu?
 
Acha ujinga,,,, walimu wa sekomdari na msingi ni wale walio na ufaulu dhaifu
Yaani wamefail
 
Acha ujinga,,,, walimu wa sekomdari na msingi ni wale walio na ufaulu dhaifu
Yaani wamefail
Mie ni mwl kama jina linavyoonesha hapo juu but sikuwahi feli, maana o_level Nina div two na advance div one, sasa nashangaa watu wanajadili out of facts, walimu wengi wa secondary wenye degree wana ufaulu mzuri tu tena kuliko hata wanaojgamba humu ila tu kuna sababu mbalimbali zinazopelekea watu waende teaching, mfano mie katika familia yangu kabla ya Mimi na wadogo zangu kusoma tulikuwa na mtu mmoja tu aliyesoma tena kasoma sheria ,mm nilikuwa na mpango wa kusoma sayans ya mazngira ama sociology ila huyo brother KWA uzoef wake alioona wenzake waliosa sheria wanavyoteseka akashauri tusomee ualimu ili kumpunguzia yy mzigo!!
 
Waambie jamaa maana wanaiga kama kasuku, hawajafanya utafiti wanacopy na kupest then wanadraw conclusion, haa haaahaaaa pole yao sana, something is better than nothing, kuna watu hum wanajgamba eti wamesoma vtu vikubwa halaf wapo kitaa kila siku wanazunguka na bahasha za kaki mikononi,
 
Yani.mtu alofaulu vizuri akawa mwalimu? Dah kaa.wapo ni zaidi ya.wachache. Hivi uliplani.toka mdogo kweli kuwa mwalimu? Ulifurahia kuchaguliwa kusomea elimu(ualimu) na unainjoy kuwa mwalimu?
Mkuu kwani kwa uelewa wako katika kada zote tofauti tofauti za serikali mfano elimu,afya,kilimo N.K ni kada ipi inayochukua ufaulu mkubwa kuliko zote tuchukulie mfano katika level ya certificate.tuanzie hapo mkuu
 
Mkuu kwani kwa uelewa wako katika kada zote tofauti tofauti za serikali mfano elimu,afya,kilimo N.K ni kada ipi inayochukua ufaulu mkubwa kuliko zote tuchukulie mfano katika level ya certificate.tuanzie hapo mkuu


Kwa ngazi yà cheti, yote ni majipu tu hakuna wa afadhali hapo
 
Kwa ngazi yà cheti, yote ni majipu tu hakuna wa afadhali hapo
Mkuu hujajibu swali langu..katika kada zote level ya certificate ni kada ipi inayochukua ufaulu mkubwa kuliko zote...tuanzie hapo level ya chini kabisa tupande then tutakuja na conclusion vizuri tu
 

Kuna sababu nyingi za kusomea ualimu. Kuna watu wenye ufaulu mzuri tu wanasomea ualimu. Hivyo hiyo isikutie shaka. Na huko tuendako ushindani utaongezeka zaidi.
Kuna miaka ya nyuma serikali ilikuwa inachukua watu wenye ufaulu hafifu kwenda ualimu hasa ngazi ya cheti na hiyo ndiyo ilifanya watu waweke alama ya kuuliza kwenye ualimu.
 
70% ya wenye degree za Elimu ni watoto wa maskini walioshindwa kumudu gharama za chuo kikuu.
 
80% ya wanaodai walimu wamefeli ni waliopita kwa vibuti.Hivyo hawajaelimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…