Mie, leo nimeokota dola 400 nilipo kua natoka duka la fedha za kigeni, mbona zenyewe azibadiliki kua hata dola 800 au makaratasi
Subiri asubuhi zitakuwa zimegeuka kiroba cha unga wa ngano, lol
nikama wiki tatu sasa,kuna dada mkazi wa ungalimited alimuokota paka mzuri barabari akiwa anatoka kazini,dada akajifanya anapenda sana wanyama akamchukua yule paka na kwenda nae kwake,dada kamuweka paka sebleni kaingia kuoga anarudi kutoka bafuni ana kuta binadamu kaka kwenye kochi,dada hamadi kapiga ukungaa yule mtu akageuka paka akamwambia nani ka kwambia unilete huku ni rudishe ulipo nitoa,dada alizimia siku tatu.....hala hala wana jf msipende kuchukua vitu mnavyo viona njiani na kupeleka makwenu

angalia...unaweza shanga usiku zinatoweka na akiba zako ulizo weka ndani
Ungalimited sehemu gani.....? Mbona sijasikia hiyo habari.....?
Subiri asubuhi zitakuwa zimegeuka kiroba cha unga wa ngano, lol
Ngoja niziweke kwenye mfuko pamoja na vitu vya arusha na mifupa ya kitimoto nione kama watazibeba kama ni magumashi.
zifungie katika kibubu kisha upige chain pamoja na nawe ili ikitokea ishu ya kupotea mpotee wote.
Ungalimited sehemu gani.....? Mbona sijasikia hiyo habari.....?
na zinatokea tufanye nini sasa?Hizi ni imani za kipuuzi tu!