Sio alama ya Hitler hii??

Swastika ni alama iliyokuwa inatumika nchi za Asia miaka 2000 kabla ya Yesu, hasa kwa Buddhists na Hindus, na ilikuwa inatumika kama good luck symbol Europe kabla haijatumika kama alama ya Chama cha Nazi. So sioni tatizo hapo.
 
thank you for the explanation
 
Swastika ni alama iliyokuwa inatumika nchi za Asia miaka 2000 kabla ya Yesu, hasa kwa Buddhists na Hindus, na ilikuwa inatumika kama good luck symbol Europe kabla haijatumika kama alama ya Chama cha Nazi. So sioni tatizo hapo.

duu kumbe asante sana..
 
Wewe mwenyewe mkuu kwa kuziangalia ziko sawa?
Tusipende kukuza mambo wakuu
Ya nazi imekaa tege ya wahindu imekaa sawa

Heshimuni dini za watu wakuu
Am so pissed off na hii thread sijui kwanini mkuu
 
kuuliza si ujinga hapo nimeuliza kaka ama hujaona alama ya kuuliza?
 
Maybe ulikuwa una nia ya kuuliza ila kuna watu wamekurupuka na kuanza kuwalaumu usalama wa taifa ... sasa sijui usalama wa taifa ndio wana design logo siku hizi

Anyway yameisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…