Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,545
- 2,486
Nahangaika kutafuta smartphone nzuri kwa ajili ya matumizi kadha wa kadha.
Napata pm nyingi za wauza tecno na Infinix. Sipo tayari nipoteze hela yangu (japo ni kidogo ) kanunua tecno au Infinix kwa bei ya 250k.
I'm ready for Xiaomi only .naomba mnipe update za Xiaomi ili kilio changu cha kutafuta smartphone kifike mwisho.
Budget yangu ni 250k. Inaweza kuongezeka kufika 270 ivi
Sent using Jamii Forums mobile app