Sintosahau za mahusiano

Sintosahau za mahusiano

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,463
Natumai hamjambo wanajukwaa,

kila mmoja wetu kapitia matukio kadhaa katika mahusiano ambayo ni ngum kuyasahau, hivo nivizuri tukashare ajili yakujifunza.

Upande wangu nilikua nakasumba ya kumfuata mpenzi wangu kwao kila tulipokua na miadi ya sex, bt siku hiyo nilipitiwa usingizi hivo akanitafuta kwa sim haipokelewi akahisi nacheat....
akaamua kuja mwenyewe bt njian akajeruhiwa vibaya na mbwa, alilia sana nakunilaum alipofika then nilimchua mafuta ya taa kama huduma yakwanza huku nikimbembeleza then tukakubaliana asubuhi kwenda hospital kwa siri ajil ya matibabu na hatmae alipona.

Now zamu yenu wakuu
 
Niliwahi kumgegeda mke mdogo wa babu kisirisiri bila mzee kujua.
 
Mimi ilikuwa mwaka 2000 nipo mkoa Fulani ,nikawa na sem wangu ndio kwanza kamaliza form6 ,ile anatoka tu shule nikawa nae,basi kuna siku tumeaidiana SAA nne asubuhi tukutane ilikuwa aiku ya j pill kumbe mwenzangu kasahau nilikaa eneo LA tukio kuanzia muda huo mpka saa8 ndipo nilipoamua kujitoa mhanga kwenda kwao alipo niona akashangaa sana na akaniambia pole nilisahau
 
nilimpiga miti demu njia panda usiku wa manane aliwaacha watoto ndani peke ao,aaubuhi nikarudi lile eneo la tukio nikapiga magoti nikacheki zile ndomu nikajikana si mimi niliefanya vile,kumbe alikua ananiangalia kwao si mbali na pale akaj kuniuliza vip mbon ulikua pale nikakosa jibu
 
Mimi ilikuwa mwaka 2000 nipo mkoa Fulani ,nikawa na sem wangu ndio kwanza kamaliza form6 ,ile anatoka tu shule nikawa nae,basi kuna siku tumeaidiana SAA nne asubuhi tukutane ilikuwa aiku ya j pill kumbe mwenzangu kasahau nilikaa eneo LA tukio kuanzia muda huo mpka saa8 ndipo nilipoamua kujitoa mhanga kwenda kwao alipo niona akashangaa sana na akaniambia pole nilisahau
hapo tunaita ulichoma mahindi
 
Back
Top Bottom