SINTOFAHAMU HII MPAKA LINI

Ifururu

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
566
Reaction score
684
Katika mkoa wa Lindi kuna maagizo ambayo yanatolewa kwakweli ni ya kutesa watumishi haswa sekta ya elimu.Hivi sheria za kazi zinasemaje kuhusu weekend?yaani Jumamos na Jumapili?
Ni hiv,Viongozi wa mkoa wametoa amri ni lazima kufundisha kila Jumamosi,usipofika shule Jumamosi hautopandishwa daraja na utahesabika kama mtovu wa nidhamu..Hivi mkoa fulani kuwa chini kielimu ndio sababu ya kusulubisha watu hivi?Ziangaliwe njia nyingine za kuwasaidia wanafunzi lakini sio kuegemea upande wa kumgandamiza mwalimu.Kufundisha ni mpaka saa 12,unatakiwa kutoa home work kila siku kwa kila somo unalofundisha,kama mnavyojua shule za vijjn mwalimu mmoja masomo 9/10/11/12/15 nakuendelea,,aandalie vipindi vyoote yaani ni shidaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha mnyoroshwe, mmezidi ujinga nyie. Mkipewa promise ya kulipwa 10000 kwa mwezi kwa kufundisha weekend mbona mtaandamana kumpongeza jiwe.

Nyoroshweni tu. Kwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…