LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,303
Bimkubwa Sintah, anajitapa sana kwenye blogu yake kuhusu kile anacho ita " ELIMU YAKE KUBWA". But taarifa za kiintelijensia kutoka kwa Mange Kimambi, zinasema kuwa Sintah hakufanikiwa hata kusoma degree ya kwanza (undergraduate ), kwanza hakumalizaga hata form six. Alitoka bongo kwenda Uganda akiwa na div four ya mulugo plus (certificate?) ya journalism kutoka pale DSJ, akaenda kufanya diploma ya uandishi UG ambayo hata hivyo hakumaliza, kwani aliishia kubeba mimba ya lecturer akamzalia mtoto na chuo kikamshinda, sasa anavyo jitapa na masters and all that ni kujichora tu kwanza watu waliosoma huwa hawafanyi namna hiyo kama anavyo fanya yeye...Chuo chenyewe alichosoma " MGETA EDUCATION CENTRE". Hivi angesoma angalau UDSM, IFM, UDOM, MZUMBE, SAUT AU TUMAINI ingekuwaje jamani?