McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,129
- 12,639
- Thread starter
- #21
Kuna kampuni nyingi,Mbona bei zinatofautiana sana na wenyewe au wewe dalali?
Bei ya 51 unaweka 56
Ngoja niende kupata quotation tena.
Aidha zimepanda kwa mda wa wiki mbili au vingine
Na wapo wateja ambao hawaprefer zilizokuwa assembled in Tanzania, kwao wameona zinabaadhi ya mapungufu
Sisi biashara yetu ni kuuza ambazo ziko assembled au refurb directly kutoka China
Na hicho ndicho kinacholeta pia utofauti pia kwenye bei
- Importer anayeingiza parts for assemble kodi yake iko chini tofauti na anayeimport gari lote zima
Ni kama upande wa SAAB Scania,
Wapo wateja wanaoprefer Scania Buses with Marcopolo Body directly toka Brazil ambao wao hawachukui SAAB wanaagiza toka Brazil wao wenyewe etc
Eg. Kilimanjaro Express yeye huagiza body zake South Africa directly na chases huchukua aidha SAAB au UK na kuvalisha huvalisha yeye mwenyewe kwa kukwepa bei kubwa kwa kuagiza SAAB au lote kutoka abroad