Singo matha mpewe hongera! zenu.

Kamwe usirithi ugomvi wa wazazi. Hongera kwa kulelewa na singo matha. Na wewe jitahidi usizalishwe tu ovyo ovyo na wahuni na kutuletea watoto wasio na maadili kwenye jamii.
 
Mumetulea hadi tumekuwa wakubwa mama kwangu ww ni baba ila huyo baba sitaki nimuone na wala simtambui kama baba.atajina langu la ukoo linatoka kwa mama yang kipenz.
Mama yako alishawahi kukukutanisha au kukupa access ya kukutana na baba yako ukasikiliza upande wake anasemaje?
 
Inshortly hata mimi kunanamna niliwahi kuishi hivyo…Ingawa baada ya kujitbua nilirudi nyumbani na kufrash kila kilichotokea

But noelwdays nimeaamua kuishi kwa manufaa kwa dababu muda wangu hapa duniani ni mdogo😎.HURUMA SIO MALEZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…