lup JF-Expert Member Apr 23, 2015 2,514 2,732 Aug 24, 2016 #1 usikose kama upo Mwanza na pia ni single... kwa jinsia zote na kwa watu wote na ni bure kabisa bila kujari imani yako.maswali na majibu yatakuwepo. Attachments 1471986932802.jpg 106.2 KB · Views: 47
usikose kama upo Mwanza na pia ni single... kwa jinsia zote na kwa watu wote na ni bure kabisa bila kujari imani yako.maswali na majibu yatakuwepo.
Swenailie JF-Expert Member Feb 15, 2016 240 228 Aug 24, 2016 #2 Hilo kanisa la MICC ndo kanisa gani? Ohooo can't miss kwakweli
lup JF-Expert Member Apr 23, 2015 2,514 2,732 Aug 24, 2016 Thread starter #3 Swenailie said: Hilo kanisa la MICC ndo kanisa gani? Ohooo can't miss kwakweli Click to expand... liko chini ya T.A.G. ila kwa nembo yao..ni kama la kirumba kwa mchungaji Rugwisha... au piga hizo cm hapo
Swenailie said: Hilo kanisa la MICC ndo kanisa gani? Ohooo can't miss kwakweli Click to expand... liko chini ya T.A.G. ila kwa nembo yao..ni kama la kirumba kwa mchungaji Rugwisha... au piga hizo cm hapo
lup JF-Expert Member Apr 23, 2015 2,514 2,732 Aug 26, 2016 Thread starter #5 masaa ndio haya jamani tusikose wala kuchelewa huenda ndio ukapata muujiza wako
ladyfurahia JF-Expert Member May 10, 2011 14,699 9,462 Aug 26, 2016 #6 lup said: masaa ndio haya jamani tusikose wala kuchelewa huenda ndio ukapata muujiza wako Click to expand... nahitaji huo muujiza ila niko mbali niombeni nipate huo muujiza mpendwa
lup said: masaa ndio haya jamani tusikose wala kuchelewa huenda ndio ukapata muujiza wako Click to expand... nahitaji huo muujiza ila niko mbali niombeni nipate huo muujiza mpendwa
ladyfurahia JF-Expert Member May 10, 2011 14,699 9,462 Aug 26, 2016 #7 ameni mtuombee nasisi wa mbali
lion iron JF-Expert Member Aug 4, 2016 318 228 Aug 26, 2016 #8 Kweli hata mimi naweza kupata mchumba hapo
lion iron JF-Expert Member Aug 4, 2016 318 228 Aug 26, 2016 #9 ladyfurahia said: ameni mtuombee nasisi wa mbali Click to expand... Njoo pm
ladyfurahia JF-Expert Member May 10, 2011 14,699 9,462 Aug 26, 2016 #10 lion iron said: Njoo pm Click to expand... una miaka mingapi kwanza kabla sijaja huko pm halafu id yako inamshkeri kidogo waogopeshwa weye
lion iron said: Njoo pm Click to expand... una miaka mingapi kwanza kabla sijaja huko pm halafu id yako inamshkeri kidogo waogopeshwa weye
lion iron JF-Expert Member Aug 4, 2016 318 228 Aug 26, 2016 #11 ladyfurahia said: una miaka mingapi kwanza kabla sijaja huko pm halafu id yako inamshkeri kidogo waogopeshwa weye Click to expand... Kila kitu nikuelewana ,ukiwa mkweli tunayajenga.ww njoo pm unijue vzr
ladyfurahia said: una miaka mingapi kwanza kabla sijaja huko pm halafu id yako inamshkeri kidogo waogopeshwa weye Click to expand... Kila kitu nikuelewana ,ukiwa mkweli tunayajenga.ww njoo pm unijue vzr
ladyfurahia JF-Expert Member May 10, 2011 14,699 9,462 Aug 26, 2016 #12 lion iron said: Kila kitu nikuelewana ,ukiwa mkweli tunayajenga.ww njoo pm unijue vzr Click to expand... khaaa mm nataka maombi waniombee kule kwenye hiyo semina aliyoitangaza mkuu hapo juu kwa thread yake anza maombi kwanza bila kwenda huko PM hakuna faida zaidi ya maombi
lion iron said: Kila kitu nikuelewana ,ukiwa mkweli tunayajenga.ww njoo pm unijue vzr Click to expand... khaaa mm nataka maombi waniombee kule kwenye hiyo semina aliyoitangaza mkuu hapo juu kwa thread yake anza maombi kwanza bila kwenda huko PM hakuna faida zaidi ya maombi
lion iron JF-Expert Member Aug 4, 2016 318 228 Aug 26, 2016 #13 ladyfurahia said: khaaa mm nataka maombi waniombee kule kwenye hiyo semina aliyoitangaza mkuu hapo juu kwa thread yake anza maombi kwanza bila kwenda huko PM hakuna faida zaidi ya maombi Click to expand... Hamna tatizo
ladyfurahia said: khaaa mm nataka maombi waniombee kule kwenye hiyo semina aliyoitangaza mkuu hapo juu kwa thread yake anza maombi kwanza bila kwenda huko PM hakuna faida zaidi ya maombi Click to expand... Hamna tatizo