Singlelady nisikilizeni

SINGLE Lady Acheni Kukata Tamaa.

Wanaume wanaowajibika ni wengi. Kuna mwanaume anakutafuta, je uko tayari kwa ajili yake?

Unaweza kukamilisha mpango wako mwaka huu!

Wanaume wapo wengi kuliko wanawake, usizubae.
Wakikujia pm nipasie mrembo mmoja tu niko palee
 
Mkuu value ya mawanamke ni ipi wowowo au nini??
 
Wanaume wapo wengi kuliko wanawake, usizubae.
We danganya wenzako. Maandiko yasema siku za mwisho wanawake saba wanamwandama mwanaume mmoja wakisema, tutakula chakula chetu, tutavaa mavazi yetu lakini tuitwe tu kwa jina lako. Asomaye na Afahamu.
 
Maandiko yasema siku za mwisho wanawake saba wanamwandama mwanaume mmoja
Hao ni mabinti wa Sayuni huko Israel watakaopoteza wanaume katika vita, ni mambo yao hao wayahudi pekee

Usiitafsiri kibongo bongo Isaya 4:1 soma vizuri inajieleza hasa ukianzia sura ya 3.
 
Huu nao ni uzi? La haulaah! Au basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…