Singlelady nisikilizeni

Wanawake wenye quality za kuolewa wapo wachache kuliko wanaume wenye quality za kuoa.

High value women wanagombaniwa sana kwenye soko la ndoa sababu wapo wachache sokoni. Ni adimu sana kupatikana.

Ukiona mwanamke unahangaika kupata mwanaume wa kukuoa. Jitazame value yako, kisha jiulize je ungekuwa wewe mwanaume unatafuta mke je ungejichagua ujioe wewe ama ungechangua mwanamke mwingine ?
 
Waambie hivi...
1. Waache mdomo
2. Waache dharau
3. Waache kudate na waume za watu huku wakikubaliana, ukipata wa kukuoa tunaachana ""Nani aoe makombo ya married man?""
4. Wasiwe kila kitu ndio (financial aspects), wawe wanatoa challenge kwenye mahusiano.
5. Waache kuishi juu ya kipato chao, kipato laki wigi laki 3...!!!
6. Waache u-slay queen.

Mengine utajazia wewe.

#YNWA
 
Utawajuaje hao wanawake wenye quality quality za kuolewa?
 
wanawake wapo wengi na ndo kundi halina muelekeo kabisa.

licha wa wanaume kuwa wachache ila wao ndo;

1.Wanaoshikilia uchumi na kuwa na kipato.
2. Ndo matajiri wakubwa.
3.wafanyakazi wengi.
4.Viongozi wengi.
5.Nguvu kazi ya jamii katika utawala na mamlaka.

Naona mmekuja na ajenda ya kujifanya mpo wachache ila tambua wanawake wapo nyomi labda huko New world order ila kwa Tanzania na Africa kwa ujumla mko wengi.
 
Hizo takwimu za wanawake kuwa wengi kuliko wanaume umezitoa wapi ndugu?
Tanzania’s population in 2023
Tanzania’s total population was 66.46 million in January 2023.

Data shows that Tanzania’s population increased by 1.9 million (+3.0 percent) between 2022 and 2023.

50.6 percent of Tanzania’s population is female, while 49.4 percent of the population is male.
 
Kwa kifupi KATAA NDOA!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
Leta population ya global village, achana na hii ya Anna Makinda yenye makandokando kibao [emoji23]
 
Utawajuaje hao wanawake wenye quality quality za kuolewa?

Vipimo vipo kibao na rahisi tu kuviona. Kwa uchache tazama hivi vitano

1.Tabia nzuri. Ukitaka kupima hili Ni kutazama je bado bikira.

2. Jinsi anavyoendesha maisha yake iwe kwa kuajiriwa ama kujiajiri.
Mwanamke mjinga / mwenye akili ama mvivu utamuona kwa hiki kigezo

3. Mavazi anayopenda kuvaa yatakuonesha huyu ni mwanamke wa aina gani.

4. Maneno anayotoa akiwa anaongea na watu yatakuonesha huyu ni mtu wa aina gani.

5. Tazama marafiki zake. Tabia za marafiki zake zitakuonesha huyo mwanamke ni mtu wa aina gani
 
Ndiyo. Wanawake ni wengi kama lengo lako ni kupelekea moto tu. Anza kutafuta yule mmoja wa kukaa naye mpaka kifo kitakapowatenga ndo uone kimbembe sasa. Nadhani inabidi tu kufumba macho na kumwachia Mungu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…