SINGLE (S) special's thread

Ok so tunasherekea vp hiyo kesho? Mi nna mpango mkakati afu vp huyu Nokia83 na James Mhangwa mbona kama wananiharibia?
Ujue mmeniangusha au nyota zenu za Usingle au ubavu wenu ulinywewa supu....watu 4 mmekimbizana na miss_blossom mmemshindwa

[emoji41][emoji41]
Niambie bhana kama upo single kwani nataka tulianzishe na tukilianzisha hakuna wa kutusimamisha!
 
Ujue mmeniangusha au nyota zenu za Usingle au ubavu wenu ulinywewa supu....watu 4 mmekimbizana na miss_blossom mmemshindwa

[emoji41][emoji41]
Mkuu mbona hakuna aliyekataliwa so far? Mi nnachojiuliza sijui atatupanga vp
 
single ni mtu wa aina gani?asie na mpenzi au mume?
Kesho ukibaki nyumbani pasipo kupewa zawadi..kuambiwa maneno ya upendo wala kufanyiwa kitu chochote na mwanaume asiye ndugu yako na hali ikaendelea hivyo pasipo kupose basi hiyo itakuwa maana sahihi ya Usingle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…