[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Endeleeni tu nmeshaona nae mapepe cmtaki tena
Sawa mkuuCheka taratibu utaanguka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]U singo mwishowe tuugue tuitwe central buree wakati kila kitu kinawezekana
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] unaniacha wakat mubashara [emoji25] [emoji25] [emoji25]Kwaheri
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] unaniacha wakat mubashara [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Haya mambo hayataki hasira...
Unaondoka tunachangamkia fursa
Makonda hataki mchezo halaf anaweza kukufukuza kwenye mkoa wake ,,,kwa hiyo fanya fanya basii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Eti tuitwe central!!!
That was funny
Nishapewa 'go ahead', twenz'etu kule pemben[emoji16] [emoji16][emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] unaniacha wakat mubashara [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Hahah!Makonda hataki mchezo halaf anaweza kukufukuza kwenye mkoa wake ,,,kwa hiyo fanya fanya basii