Lonelyness
Member
- Aug 14, 2015
- 28
- 12
unawatoto wangapi!?? unaishi wapi kwa sasa.... moyo unanienda kasi
unawatoto wangapi!?? unaishi wapi kwa sasa.... moyo unanienda kasi
Karibu kwangu pia.
Mkuu hata uwe una watoto mia tatu kuna sehemu lazima kama binadamu unahitaji kuwa na mtu wa jinsia nyingine haijalishi umetendwa mara ngapi na hii ni kwa jinsia yote, mwache atumie hai yake ya msingiMi nakushauri kampani yako iwe watoto. Usitafute presha zaidi. Wanaume hatutabiriki.
Mi nakushauri kampani yako iwe watoto. Usitafute presha zaidi. Wanaume hatutabiriki.
ushauri mzuri but naogopa kuwa mchepuko kwawaume zawatu na mwisho mzinzi maana upweke ni jaribu usiombe yakupate, bora nipate mume niepukane na dhambi ya uzinzi, pia naogopa kuchepuka mara huku mara huku, mwili ni dhaifu, samahani kama nimekukwaza