Single mamaz club

Daaah hii Dunia Kuna watu wanaongea vibaya jamaniii.... Mwenyezi Mungu ni mkuu0
 
Daaah hii Dunia Kuna watu wanaongea vibaya jamaniii.... Mwenyezi Mungu ni mkuu0
hayajakukuta bro. mtu anajua kabisa umeoa, una watoto, afu anatuma msg mkiwa kitandani na mkeo shida yake anataka uachane na mke wako ili umuoe yeye. hesabu hao single mothers, ni wangapi wamezaa na single fathers, majority wameiba ndoa za watu na wamesababisha familia nyingi kusambaratika. binafsi huwa namhesabu adui hata kwenye simu nimesevu "adui". kwasababu ndiye adui wa ndoa yangu.
 
Kwanini uliruhusu aingie kwenye maisha yako? Ujue nae ni mtoto wa mtu yule amezaliwa kama wewe,umeuteka moyo wake sahiv unamuona msumbufu? Mjue nyie watu mnafanya vitu mkifikiri vinapita ni laana hizi haya mambo yanajirudia kama si kwako basi kizazi chako...Hebu kuweni na huruma ni binti za watu Hawa. IPO siku wahuni watahiari watoto wako Kisha watawasema kama hivi sijui utajisikiaje...Haya ngoja nikuache na mjadala wako
 
kama nimewakwaza mniwie radhi, ila ukweli mchungu ni kwamba, ninyi single mothers, hasa mlioiba ndoa za watu, mnasababisha maumivu makubwa sana kwa wake za watu na watoto wao. ninyi ni maadui. unawezaje kumpenda mume wa mtu? mume wa mtu ana watoto kabisa unampenda? acheni ujinga.
 
Kuna sehemu namuona dr Elie anaongea na hao single parents against their views .Anajaribu kuwaelezea na kuelezea effects za negativity walizonazo single mothers .Yan sijakifatilia sana lkn ww kifatilie uje kutupa mrejesho mm kwa uwepo wa dr Elie sidhan km kitakuwa kinahamasisha single mothers.
 
Mimi sio single mother wala sijabahatika mtoto bado ila yafaa ubadili aina ya maneno unayozungumza,ikane nafsi yako mwenyewe na uombe radhi kwa Mungu wako na kwa uliyemzalisha hakika nakuambia aina ya maneno unayozungumza yatakurudia kwenye mifupa yako mwenyewe ,(mifupa katika mifupa yako,damu katika damu yako,nyama katika nyama zako,mazao ya kiuno chako) Achana kabisa na mentality ya hivi....watatokea wahuni wa miaka hyo watapita na watoto wako alafu waje huku JF kujitamba na kusema vibaya sasa sijui kama ukimkuta mwanao anapita changamoto hyo Utajisikiaje.

Na katika maisha yako usiwe too judgemental,kaa chini tafsiri Hali ya mtu kwanini anakuwa hivi kwann anapita hvi mueleweshe kwa ukarimu Kuna uwezekano lugha unayotumia kumuelewesha wewe ni MARRIED MAN pia si nzuri

Jifunze kusoma SAIKOLOJIA YA MTU huwezi elewa changamoto Gani anapita,huenda
Wewe ndio ulioharibu maisha yake kiasi cha kuwa Kila mtu amuone Hana thamani
 
hakuna changamoto yeyote anayopitia, kama mpunga anao, anachotaka ni shetani anamtumia tu nifanye naye ngono, anataka ngono tu, ngono na mume wa mtu, wewe pia utakuwa mwizi wa ndoa za watu, niombe radhi kwa mtu anayepambana kumharibu mke wangu ili yeye nimuoe? una akili kweli wewe, au na wewe ndio wezi wa ndoa za watu. achnei kuishi kama mapaka.
 
Mim sipambani ila unatumia lugha ambayo si sahihi,nmekushauri kaa chini zungumza nae kwa hekima atambue wewe ni mume wa mtu aelewe wewe ni mume wa mtu na KAMWE hakuna chochote kinachoweza kuwepo kati yenu...Wewe umeshindwa fikisha ujumbe kwa lugha nzuri
 
nimekaa naye chini, nimezungumza naye miaka 11 hii. ni kama kupigia mbuzi gitaa. usiombe ndoa ivurugwe na watu kama hawa, ni maadui mno, dhalilisha sana wake zetu bila sababu. hao ni maadui, hawafai kuwalemba (though naongelea wale hasa walioiba ndoa za watu ambao ndio wengi), najua wengine hawakuiba, hao Mungu awasaidie wapate waume, waache kudanga, watulie. ila wale wezi wa ndoa za watu ambao wakati mwingine tumeingia kwao kwa kuwekewa hadi madawa ili watupate, hao wana moto wao). na wewe kama ni mmojawapo, koma.
 
Hii nisha izungumzia kwenye huu uzi, naona kama jamii yetu wanaipromoti sana. Jamii yetu imekuwa legelege sana wanaume hawaongei na wavulana ili waje kuwa baba bora kwa familia yao na wanawake hawaongei na wasichana ili kuja wake bora na hapo sasa ndio unaona umuhimu wa jando na unyago.


Ukienda kijijini vijana wadogo wana miji yao na wake zao wanaendesha maisha,single mother unawatafuta kwa tochi, ila huku mjini kila mtaa wimbo ni uleule wa single mother tena vitoto vidogo havijavuka hata 20yr.
 
Hapa ndio umejipambanua Nini unamaanisha,awali ulizungumza kwa lugha chafu sana, mimi sio muumini wa waume za watu kaka. Mimi nimesoma SAIKOLOJIA Na akili binafsi haijawahi niruhusu kufanya ulichofanya wewe (cheating) au alichofanya huyo mwanamke.
 
Huwa nasikitika sana mwanamke anayejivunia u single maza.
 
Mental iiliness is real...
 
Majority wameiba ndoa za watu na kuzisambaratisha kivipi??
Si huwa mnawadanganya mtawaoa afu mnaingia mitini??
Haya tuje kwa wenye ndoa; hawa wanawake huwa wanawabaka ama?? Mwanaume una ndoa yako kwa nini usitulie?? Mnakubaliana watu 2 mkiwa na akili timamu mbaya zaidi hutumii hata kinga afu unalaumu kuvunjiwa ndoa??
Mama wa mtoto wako unam- address kama takataka gani sijui.
Yes ana madhaifu yake lakini hupaswi kutumia maneno makali hivyo.
You re so bitter, be a man!!!

Ha
 
Tunawatakia kila la heri ndo ishakua hivyoo..na sisi hatutaki kuachia ndoa zetu...
 
Reactions: BRB
Mkuu huyo jamaa ndo wale kamla demu baadaye anakuja kutambua kwamba hayuko kwenye viwango vyake.......lakini alipokutana naye tayari kitu kikanasa ndo maana anatoa povu namna hii. Kama angekuwa kamwelewa huyo demu na akawa anambania angekuja kulalamika hapa kwenye angle tofauti kabisa.
 
Malaya mstaafu hataki kumsikia Malaya mwenzake ni ajabu hii
 
Kuna mmoja anataka kudai talaka akapange kunduchi au somewhere mbuyuni... aache mjengo wake aliojenga na mumewe huko Madale... alinitumia ujumbe nimtafutie dalali

Plan yake ilikuwa aanze michakato ya divorce mwaka ujao January, lakini naona kapunguza anataka ahame kwake Mwezi september... ila nahisi kashapata jamaa nje anamchakata mbususu. Ana watoto watatu tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…