ndo yale yale. Hawajaandikwa kuwa wako singo. Au nisaidie ww kuwatambua
kwani wewe unapenda mtu au kazi yake? Maana mimi nitakupa mshahara wangu wote ila matumizi unipe wewe lakini matumizi yangu ni mara 3 ya mshahara wangu ndo maana hata siutaki nakukabidhi maana haunisaidii kama upo tayari njooishu si ndo kuwapata mkuu. Kuimbisha si tatizo. Tatizo kujua huyu yupo kama mi.
Huwezi kujua bila kuwafanyia usaili,mbaya zaidi kumpata aliye single siku hizi ngumu na hata ukimpata ujue kaachana na mtu na si unajua mapenzi hayana kaburi siku yoyote wanarudiana.ishu si ndo kuwapata mkuu. Kuimbisha si tatizo. Tatizo kujua huyu yupo kama mi.
thethethethethet!!! Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii anaaaaa!!kwani wewe unapenda mtu au kazi yake? Maana mimi nitakupa mshahara wangu wote ila matumizi unipe wewe lakini matumizi yangu ni mara 3 ya mshahara wangu ndo maana hata siutaki nakukabidhi maana haunisaidii kama upo tayari njoo
ngoja nakuletea miwani ya 3D utawaona
Preta kwani ushauacha usingo!!?