Which ideas have proved failure na kwani Africa ndiyo kuna kanuni za ndoa?? Nimekwambia wapo wanawake wengi wenye sifa nzuri na wananyanyaswa na waume zao na wapo wanawake wengi wenye sifa mbaya na hawanyanyaswi na waume zao ninyi ambao mnalazimisha kuwa ndoa zina kanuni ndiyo mnafeli what works for me can not work for anaother woman
Na simpotoshi mtu hapa ila ninawaambia ukweli siwakatazi wanawake kuwa na sifa nzuri ila kama mwanamke anataka kuwa na sifa nzuri basi awe nazo kutoka moyoni na siyo awe nazo kwa kuigiza eti ili tu aolewe (kitu ambacho wanaume wengi mnataka wanawake wakifanye) mwanamke wa hivyo hana tofauti na mtu anayeenda jeshini kwa sababu ya mshahara na siyo kwa sababu ya uzalendo huyo mtu ni lazima aidha atoroke kambini au afe mazoezini!! Amini nakuambia
Hakika.Ninakuunga mkono kwenye hili. Wanawake wasipretend. Wasiwe wanafiki ili waolewe. Hapo nimeungana na wewe, maana wako wanaojifanya malaika, wakifika ndoani wanafichua makucha ya kishetani. Ishi uhalisia wako, ili umpate mtu atakayeweza kuendana na wewe.
But ushauri wangu kwa ladies ambao wangetamani kuolewa na bado haijawa hivyo. Badilika. Kama unadanga acha kudanga (kwa kumaanisha). Kama una mdomo chafu jifunze kuwa na staha unapoongea na watu, etc.
Kama unaamini katika Mungu, hebu iishi imani yako, halafu muombe akupatie mtu wa kufanana na wewe. Hii inaapply na kwetu wanaume pia. Tujue tu, vile ulivyo utapata mtu wa aina yako, huyo ndo atakufit maishani. Mungu hawezi kumchukua kondoo wake akamfungisha ndoa na fisi.
-Mkaskaz.
Unabangi kweli metro??Upo kama Leo nimekuona pale metro..
Waambie hao jamaniMbona thread za kushambulia Wanawake zipo nyingi sana
Ukigeuka huku jua limezama, ukifungua hii umri wa kuringa mwisho 25, ukirudi huku hawaolewi.
Kila mtu anaishi maisha anayojisikia huwezi kumlazimisha mtu aolewe na mtu asiempenda
So wee unadhani hawajapata wanaowapenda siyo!?Mbona thread za kushambulia Wanawake zipo nyingi sana
Ukigeuka huku jua limezama, ukifungua hii umri wa kuringa mwisho 25, ukirudi huku hawaolewi.
Kila mtu anaishi maisha anayojisikia huwezi kumlazimisha mtu aolewe na mtu asiempenda
Mbona thread za kushambulia Wanawake zipo nyingi sana
Ukigeuka huku jua limezama, ukifungua hii umri wa kuringa mwisho 25, ukirudi huku hawaolewi.
Kila mtu anaishi maisha anayojisikia huwezi kumlazimisha mtu aolewe na mtu asiempenda
Ninakuunga mkono kwenye hili. Wanawake wasipretend. Wasiwe wanafiki ili waolewe. Hapo nimeungana na wewe, maana wako wanaojifanya malaika, wakifika ndoani wanafichua makucha ya kishetani. Ishi uhalisia wako, ili umpate mtu atakayeweza kuendana na wewe.
But ushauri wangu kwa ladies ambao wangetamani kuolewa na bado haijawa hivyo. Badilika. Kama unadanga acha kudanga (kwa kumaanisha). Kama una mdomo chafu jifunze kuwa na staha unapoongea na watu, etc.
Kama unaamini katika Mungu, hebu iishi imani yako, halafu muombe akupatie mtu wa kufanana na wewe. Hii inaapply na kwetu wanaume pia. Tujue tu, vile ulivyo utapata mtu wa aina yako, huyo ndo atakufit maishani. Mungu hawezi kumchukua kondoo wake akamfungisha ndoa na fisi.
-Mkaskaz.
Mbona thread za kushambulia Wanawake zipo nyingi sana
Ukigeuka huku jua limezama, ukifungua hii umri wa kuringa mwisho 25, ukirudi huku hawaolewi.
Kila mtu anaishi maisha anayojisikia huwezi kumlazimisha mtu aolewe na mtu asiempenda
Mimi nafikiri inategemea ntu na ntuSo wee unadhani hawajapata wanaowapenda siyo!?
Eti bangi,,, [emoji23][emoji23][emoji23]Unabangi kweli metro??
WeweeeeEti bangi,,, [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipe na ugoro si ndiyo zenu made wa chuga na kunywa K-Vant
Unabangi kweli metro??
Seriously 😂Cheat on my Katoto kazuri, she know I'm dishonest
But I'm just a product of my environment
Just a jokeSeriously [emoji23]