THATS THE NAKED TRUTH, huu ndio ukweli mtupu, lakini wengi watapinga, sababu moja ya single ladies kudate married men ni hii, hao masingles wanataka DESTINY UNCOVERED, badala ya kuchukua DESTING CONCEALED, yaani wantaka mume ambae amekamilika, badala ya kuchukua mwanaume na kumufanya a HUSBAND, wengi will attack me, but ukweli ni ukweli, ladies no man is a husband material, you take him and you make him one,Moja kati ya sababu ni hizi:
1. Umejirahisi sana, ukiwekewa kamtego unanasa, unachezewa, unaachwa.
2. Unachagua sana, ukiwakataa wapambanaji badala yake unangojea waliokwisha pambana kimaisha na kutoka.
3. Una mdomo (nyodo, kiburi) na tabia zingine zisizovumilika kwa wanaume (seems not ready to be submissive)
4. Hujichanganyi na watu wapya, uko na walewale wanaokujua inside out.
5. Njaa njaa zisizo na msingi. Mkibadilishana namba tu ushaomba vocha na mama ashaugua tayari.
6. Kukosa sifa za kuwa mke. Unasomeka kiviwanjaviwanja tu na kimatanuzi. Huoneshi kama una vision.
7.....
8.........
9.............View attachment 1194537
Halafu na nyinyi hao mlioteseka nao from 0-hero mnawaacha mnawafuata vichenchede mkiishiwa ndio mnarudi kwa ma hero wenu,mfyuuuu!!!!Wanataka ma-HB na wenye hela;bila kujua hao wanaowahitaji kuna watu waliteseka nao from zero to hero
ha ha ha sio hivyo mkuu,mahitaji ya tendo kwa mwanaume ni zaidi ya mwanamkeHalafu na nyinyi hao mlioteseka nao from 0-hero mnawaacha mnawafuata vichenchede mkiishiwa ndio mnarudi kwa ma hero wenu,mfyuuuu!!!!
Kwani wewe hutaki mdada mzuri?Bado wanapoint makaka wazuri!!!!
Hero hua haachwi ila anapewa pumziko tuHalafu na nyinyi hao mlioteseka nao from 0-hero mnawaacha mnawafuata vichenchede mkiishiwa ndio mnarudi kwa ma hero wenu,mfyuuuu!!!!