mkuu wa mkoa wa singida Dr kone amezindua wilaya mpya " IKUNGI" ambayo itakua na majimbo mawili singida mashariki na singida magharibi.dr kone amawsema wamelazimika kufanya hivyo ili kurahisisha huduma za maendeleo kwa wananchi
Mnazidi kuongeza gharama lakini mkiambiwa serikali tatu mnajaa mapovu, hizi za wilaya mpya siyo kuongeza gharama??? Go on warioba na serikali tatu.tunasumbuliwa na mburula