Singida; Mkutano wa kampeni wa CHADEMA

Rehema E Grayson
9/13, Hela ilingia 10/9/2015 mil 65 tawi Mwanza na kutolewa11/9/2015 tawi Ostabay
[9/13,

01J2008494400 Na ilitolewa mil 60
Hela za kuwanunua akina aunty Ezekiel na Ray

wale wa ccm hawalipwi?
 
Takataka tupu.
zipeleke dampo sio kuzileta humu Jf.
 
Tupieni update za mkutano picha video mkutano unavyo endelea
 
Rehema E Grayson
Hela ilingia 10/9/2015 mil 65 tawi Mwanza na kutolewa11/9/2015 tawi Ostabay

01J2008494400 Na ilitolewa mil 60
Hela za kuwanunua akina aunty Ezekiel na Ray
 
Nitamchagua huyo huyo
 
Wewe ni nshomile ambaye mahusiano kati ya ubongo na mwili havina mawasiliano,huenda rubisi lumekuharibu
 
Sidhani kama haya maneno ni mapya,tuliyasikia na tunayasikia ila sisi tutamchagua huyo huyo mgonjwa.
 
Rehema E Grayson
9/13, Hela ilingia 10/9/2015 mil 65 tawi Mwanza na kutolewa11/9/2015 tawi Ostabay
[9/13,

01J2008494400 Na ilitolewa mil 60
Hela za kuwanunua akina aunty Ezekiel na Ray

uwiiiiiiiiu njoooooni huku muone wadau
 
Nitaanza kuwa letea wadau sio muda nipo njiani kuelekea uwanjani muda huu, mabadiliko ni sasa

Tunashukuru mkuu nawe umeweka rekodi ya kuanzisha uzi hapa JF.

picha sio issue tena cha msingi ni kuhakikisha oktoba tunapiga kura na si vinginevyo ili LOWASA ashinde kwa kishindo.
 
Rehema E Grayson
9/13, Hela ilingia 10/9/2015 mil 65 tawi Mwanza na kutolewa11/9/2015 tawi Ostabay
[9/13,

01J2008494400 Na ilitolewa mil 60
Hela za kuwanunua akina aunty Ezekiel na Ray
Mkuu umeuwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…