Kanyunyu
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 335
- 495
Umoja wa maendeleo singida kaskazini umeanzishwa ukijumuisha kada ya wasomi wenye lengo la kurudisha nguvu zao kusaidia maendeleo kwa jamii yao ya singida kaskazini
Umoja huo unaojulikana kama WIRWANA ASSOCIATION au WAENDELEE umeanzishwa mwaka Jana na sasa umekuwa na wanachama zaidi ya 1000 ndani na nje ya singida kaskazini, umoja huu umelenga kujikita zaidi kwa mambo yafuatayo
Kufahamiana
Kusaidiana katika shida na Raha
Kusaidia Sekta ya Elimu
Kuboresha Mazingira
Kusaidia Sekta Afya
Kusaidia Sekta ya Maji
Umoja huu umekuja kwa Muda mwafaka kutokana na kukosekana kwa ushirikiano kwa watu wa singida kaskazini kwa Muda mrefu sana, kwa Muda mfupi wa kuanzishwa umoja huu Kuna mambo makubwa yamefanyika kama ifuatavyo
1.Kampeni ya kupanda miti singida kaskazini ambapo umoja huu umeshiriki moja kwa moja kupanda miti zaidi ya 5000 kuanzia December 2015 hadi January 2016
2.Kusaidiana katika shida, mfano msiba wa dada aliyechinjwa na mwanae kule Bagamoyo, alikuwa ni ndugu yetu wa MTINKO singida kaskazini, umoja huu uliwezesha kuchangia 2Milioni kwa ajili ya kusafirisha maiti kwenda singida kwa mazishi
3.Umoja wa WAENDELEE umeahidi kuchangia madawati 500 kuokoa Sekta ya Elimu singida kaskazini, madawati haya yatakabidhiwa mapema July mwaka huu
Tunatoa wito kwa wadau wote wa singida kaskazini kujiunga na umoja huu ili kurejesha mshikamano kwa masilahi mapana ya jamii yetu, hatua ya kwanza kujiunga na umoja wa WAENDELEE ni kuunganishwa kwenye group la Whatsaap na ndipo utapatiwa maelekezo na miongozo ya umoja huu, Waweza kutuma ujumbe kupitia Whatsapp namba 0688772027 ili kuweza kuunganishwa na wana singida kaskazini
MAENDELEO NI SASA, TUKITEGEMEA WANASIASA PEKEE KULETA MAENDELEO TUTABAKI KUWA NYUMA SANA