Mkuu ngoja nikuambie kitu ,hizi timu za jadi usicheze nazo Azam alipata kombe mara moja wakati watani wa jadi wote hawana hela ,sasa hivi kila mtu anatamani moja ateleze awekeze,matokeo mabovu matatu hizo timu unafurumushwa na mashabiki umeweka hisa kiasi gani hawajui wanakuja mlangoni kwako,inafuatiliwa kila Senti wakitaka huyu mchezaji wao wanamtaka huna namna ,marefa hivo hivo chupri chupri either Msimbazi au jangwani,hadi TFF ukishindwa utaporwa points kwa kushauriwa kumbe mtego unafanya kosa,hawa Singida Big Stars unaowaona ngoja wakutane na Simba au Yanga wanakula hata 4-0, hizo game kuna pride kwamba Mimi ndo mimiLakini sii bora anapiga lakini na wananchi wanasambaziwa vijisenti jameni.....sema hapa kwa kisambaz senti kwa wachezaji wa kigeni ndio alipokosea.
Nakubaliana na wewe kuhusu upenzi wa simba na yanga.Mkuu ngoja nikuambie kitu ,hizi timu za jadi usicheze nazo Azam alipata kombe mara moja wakati watani wa jadi wote hawana hela ,sasa hivi kila mtu anatamani moja ateleze awekeze,matokeo mabovu matatu hizo timu unafurumushwa na mashabiki umeweka hisa kiasi gani hawajui wanakuja mlangoni kwako,inafuatiliwa kila Senti wakitaka huyu mchezaji wao wanamtaka huna namna ,marefa hivo hivo chupri chupri either Msimbazi au jangwani,hadi TFF ukishindwa utaporwa points kwa kushauriwa kumbe mtego unafanya kosa,hawa Singida Big Stars unaowaona ngoja wakutane na Simba au Yanga wanakula hata 4-0, hizo game kuna pride kwamba Mimi ndo mimi
Hawa Singinda na huu usajili unadhani Azam watapata nafasi ya 3? Kama watabaki hawa hawa wachezaji sahau Azam nafasi ya 3 ,isitokee mgongoro au mambo ya financial Singinda ,kuna Geita piaNakubaliana na wewe kuhusu upenzi wa simba na yanga.
Ila kwa azam nadhani tatizo kubwa lipo kwao wenyewe. Haiwezekani wee point difference inakuwa point 18 sijui huko kati yako na bingwa. Hapo inamaanisha kuwa wee mwenyewe una matatizo yako na sio figisu za hawa mapacha.
Nafasi ya tatu patakuwa patamu kweli maana hawa singida, azam na geita watapelekeano pumzi ya motoHawa Singinda na huu usajili unadhani Azam watapata nafasi ya 3? Kama watabaki hawa hawa wachezaji sahau Azam nafasi ya 3 ,isitokee mgongoro au mambo ya financial Singinda ,kuna Geita pia
Mkuu ungekuwa live comedy sanaSabato kapiga shuti golini utadhani kafungiwa kitambaa machoni
Kwani nyie wana simba hamjamchukua?Ila sijajua undani wa usajili wa Geita,Mpole bado yupo Geita?
Wee africa acha kabisa....disadvantage moja kuwa tuliyonayo sie tz maumbileMkuu kwa mechi za africa heri wapige biriani ,ila physical hamna kitu
Bado yupo Geita.Ila sijajua undani wa usajili wa Geita,Mpole bado yupo Geita?
Za ndani alizingua pote kwa mapacha wa Kariakoo kwa kufanya majaribio bondeni akakosa na huko,so anarudi pale pale ,haina uhakika,what a waste unadhani atasikika tena au bahati utajirudi bila kuwa Simba au Yanga?Kwani nyie wana simba hamjamchukua?
Azam alikata bajeti ya kuendesha timu na alitema almost nusu ya kikosi chake ndani ya msimu mmoja.Mkuu ngoja nikuambie kitu ,hizi timu za jadi usicheze nazo Azam alipata kombe mara moja wakati watani wa jadi wote hawana hela ,sasa hivi kila mtu anatamani moja ateleze awekeze,matokeo mabovu matatu hizo timu unafurumushwa na mashabiki umeweka hisa kiasi gani hawajui wanakuja mlangoni kwako,inafuatiliwa kila Senti wakitaka huyu mchezaji wao wanamtaka huna namna ,marefa hivo hivo chupri chupri either Msimbazi au jangwani,hadi TFF ukishindwa utaporwa points kwa kushauriwa kumbe mtego unafanya kosa,hawa Singida Big Stars unaowaona ngoja wakutane na Simba au Yanga wanakula hata 4-0, hizo game kuna pride kwamba Mimi ndo mimi
Dah balaaa...yeye angechukua mzigo wa mmoja ya hao watani maisha yanaendelea.Za ndani alizingua pote kwa mapacha wa Kariakoo kwa kufanya majaribio bondeni akakosa na huko,so anarudi pale pale ,haina uhakika,what a waste unadhani atasikika tena au bahati utajirudi bila kuwa Simba au Yanga?