Singasinga Ana haha

Singasinga Ana haha

kailakarama

Member
Joined
Aug 30, 2014
Posts
73
Reaction score
30
ATTENTION!....
-----------------------
Kuna taarifa kwamba faili la kesi ya Zitto Kabwe kupibga kuvuliwa uanachana wa Chadema limeitwa kwa mmoja wa majaji wa Mahakama Kuu. Haijulikani kama jaji huyo ni John Utamwa au mwingine.

Utamwa ndiye aliyeweka zuio ambalo limenfanya Zitto awe mbunge hadi leo. Utamwa pia ndiye aliyeamua uamuzi wa kesi ya IPTL ambao serikali imeutumia kumlipa hela Seth Singh. Taarifa za Kimahakama zinadai kwamba hatua hii ya kuitisha inaweza kuwa mwanzo wa juhudi za kumvua Zitto ubunge ili asiongoze harakati za kamati yake kuhakikisha uchunguzi wa wizi wa fedha za Tegeta Escrow unakamilika. Hapo awali zilikuwepo taarifa za mwanasheria wa Zitto, Albert Msando, kutishiwa na mmoja wa maofisa usalama kwamba Zitto anatakiwa kuachana na suala la IPTL la sivyo atakumbana na matatizo.

Kama mtu kama Zitto au Msando ambao hawana uhusiano na serikali wanatishiwa namna hii, je hali ikoje kwa CAG? Tunaamini kwamba ripoti yake haitachakachuliwa kwa faida ya wachache?
 
Zitto amepewa kazi ya kuhujumu Escrow na si kupambana
Mtu halisi wa Kupambana na escrow ni kafulila
 
Zito na tegeta escrow wapi na wapi bwana wewe umeshasikia zito akizungumzia escrow?thubutuu zito alishakula mlungula alipewa na singa singa na akaambiwa akae kimya,esrcow ni ya kafulila na siyi ya zito
 
ATTENTION!....
-----------------------
Kuna taarifa kwamba faili la kesi ya Zitto Kabwe kupibga kuvuliwa uanachana wa Chadema limeitwa kwa mmoja wa majaji wa Mahakama Kuu. Haijulikani kama jaji huyo ni John Utamwa au mwingine.

Utamwa ndiye aliyeweka zuio ambalo limenfanya Zitto awe mbunge hadi leo. Utamwa pia ndiye aliyeamua uamuzi wa kesi ya IPTL ambao serikali imeutumia kumlipa hela Seth Singh. Taarifa za Kimahakama zinadai kwamba hatua hii ya kuitisha inaweza kuwa mwanzo wa juhudi za kumvua Zitto ubunge ili asiongoze harakati za kamati yake kuhakikisha uchunguzi wa wizi wa fedha za Tegeta Escrow unakamilika. Hapo awali zilikuwepo taarifa za mwanasheria wa Zitto, Albert Msando, kutishiwa na mmoja wa maofisa usalama kwamba Zitto anatakiwa kuachana na suala la IPTL la sivyo atakumbana na matatizo.

Kama mtu kama Zitto au Msando ambao hawana uhusiano na serikali wanatishiwa namna hii, je hali ikoje kwa CAG? Tunaamini kwamba ripoti yake haitachakachuliwa kwa faida ya wachache?

Ndugu mleta mada tambua kuwa Zitto hakuna suala lolote atakalolianzisha likawa na mwisho wenye mafanikio kwa anachokipigania zaidi uishia yeye kunufaika na hicho anachoonyesha kukipigania nikimaanisha kuwa huyu jamaa ni mpiga dili tu na hana uchungu wowote na rasilimali zetu, kama unapingana na mimi naomba uniwekee hapa tangu amekuwa mbunge na hoja zote alizozitoa na kujifanya kuzisimamia ni ipi iliyoisha kwa mwisho wenye mafanikio?
 
Ni kweli! Nakumbuka Zitto alisema anayo majina ya watu walioficha pesa Uswis. Watanzania walimwamini sana. Lakini baada ya kupata mkwanja akabadilisha usemi kuwa hayo majina hana. Zitto ndumilakuwili kama siyo kinyonga!
 
Ndugu mleta mada tambua kuwa Zitto hakuna suala lolote atakalolianzisha likawa na mwisho wenye mafanikio kwa anachokipigania zaidi uishia yeye kunufaika na hicho anachoonyesha kukipigania nikimaanisha kuwa huyu jamaa ni mpiga dili tu na hana uchungu wowote na rasilimali zetu, kama unapingana na mimi naomba uniwekee hapa tangu amekuwa mbunge na hoja zote alizozitoa na kujifanya kuzisimamia ni ipi iliyoisha kwa mwisho wenye mafanikio?

Unamatatizo ya Ubongo na unapaswa kuanza kula nanasi ili uwe na kumbukumbu sahihi.

Zitto ndiye mwasisi wa hoja ya Buzwagi,alikuwa akidai watanzania nao tushirikishwe ktk kuwekeza kwenye madini,Samwel Sitta akamfukiza Zitto Bungeni lkn baadae Zitto aliibuka mshindi baada ya Rais kulazimika kuunda kamati ya kupitia upya mikataba ya madini(Tume ya Jaji Bomani)
Kutokana na tume hii iliyoundwa tulipata sheria mpya ya madini mwaka 2010,hilo ni mja kati ya mengi yaliyofanikishwa na Kiongozi huyo shujaa.kama hujaelewa nitakuletea hapahapa mpaka uache mtima nyongo
 
Sheria mpya...!!? Who, judge Bomani..!? HADI LEO HAKUNA KITU KTK TUME ILE KIMEFANYIWA KITU...

HATA MUULIZE HUYO ZITTO WAKO, HAKUNA CHA MIKATABA KURUDIWA AU SHERIA NA VYOTE VILIVYOPENDEKEZWA NA TUME KUJUA VIKO WAPI...
VIMEFUNGIWA KTK SHELVES...NA VIOZEE HUKO...

So know exactly wht u say...!!"

Unamatatizo ya Ubongo na unapaswa kuanza kula nanasi ili uwe na kumbukumbu sahihi.

Zitto ndiye mwasisi wa hoja ya Buzwagi,alikuwa akidai watanzania nao tushirikishwe ktk kuwekeza kwenye madini,Samwel Sitta akamfukiza Zitto Bungeni lkn baadae Zitto aliibuka mshindi baada ya Rais kulazimika kuunda kamati ya kupitia upya mikataba ya madini(Tume ya Jaji Bomani)
Kutokana na tume hii iliyoundwa tulipata sheria mpya ya madini mwaka 2010,hilo ni mja kati ya mengi yaliyofanikishwa na Kiongozi huyo shujaa.kama hujaelewa nitakuletea hapahapa mpaka uache mtima nyongo
 
Maskini Tanzania..........Kila Kona watu wanapiga dili za hatari,haijalishi kama kuna anayeumia au kupoteza maisha,ili mradi wao wananeemeka wengine mtajua wenyewe.
 
Kwenye siasa hamna adui wala rafiki wa kudumu.
Mwakani tarajia akina Kafulila waliofukuzwa chadema watapanda jukwaani kumnadi aliyewakuza kuwa rais wa nchi.Hii ni politics,hivyo kutengana kwa Zitto na Kafulila ni issue ndogo sana.
Hapo ndio umeongea nn!!??
Unamtenganishaje Zitto na Kafulila!!!???
 
attention!....
-----------------------
kuna taarifa kwamba faili la kesi ya zitto kabwe kupibga kuvuliwa uanachana wa chadema limeitwa kwa mmoja wa majaji wa mahakama kuu. Haijulikani kama jaji huyo ni john utamwa au mwingine.

Utamwa ndiye aliyeweka zuio ambalo limenfanya zitto awe mbunge hadi leo. Utamwa pia ndiye aliyeamua uamuzi wa kesi ya iptl ambao serikali imeutumia kumlipa hela seth singh. Taarifa za kimahakama zinadai kwamba hatua hii ya kuitisha inaweza kuwa mwanzo wa juhudi za kumvua zitto ubunge ili asiongoze harakati za kamati yake kuhakikisha uchunguzi wa wizi wa fedha za tegeta escrow unakamilika. Hapo awali zilikuwepo taarifa za mwanasheria wa zitto, albert msando, kutishiwa na mmoja wa maofisa usalama kwamba zitto anatakiwa kuachana na suala la iptl la sivyo atakumbana na matatizo.

Kama mtu kama zitto au msando ambao hawana uhusiano na serikali wanatishiwa namna hii, je hali ikoje kwa cag? Tunaamini kwamba ripoti yake haitachakachuliwa kwa faida ya wachache?

shetan alimtumia huyo jamaa na baada ya kuona hamuhitaji tena anaweza kumfanyalolote.hiyoni sehemu ya gharama ya usaliti
 
Unamatatizo ya Ubongo na unapaswa kuanza kula nanasi ili uwe na kumbukumbu sahihi.

Zitto ndiye mwasisi wa hoja ya Buzwagi,alikuwa akidai watanzania nao tushirikishwe ktk kuwekeza kwenye madini,Samwel Sitta akamfukiza Zitto Bungeni lkn baadae Zitto aliibuka mshindi baada ya Rais kulazimika kuunda kamati ya kupitia upya mikataba ya madini(Tume ya Jaji Bomani)
Kutokana na tume hii iliyoundwa tulipata sheria mpya ya madini mwaka 2010,hilo ni mja kati ya mengi yaliyofanikishwa na Kiongozi huyo shujaa.kama hujaelewa nitakuletea hapahapa mpaka uache mtima nyongo

Hapo kwenye RED unaweza kutuambia
1.Hiyo sheria mpya ya madini imeonyesha nini chenye tofauti na hali ilivyokuwa hapo awali?
2.Hadi sasa sheria hiyo imetumika vipi kusaidia nchi ili inufaike na madini kama ambavyo wenzetu kule Botswana wanafanya?
3. Wale waliokiuka sheria hiyo hadi sasa ni wangapi wameishachukuliwa hatua?
4.Hadi sasa nchi inapata % ngapi kutoka kwa hao wawekezeji wa madini? maana hapo awali tulikuwa tunapata 3% na tena ni mrahaba na walikuwa wanachimba hadi pale eti watakapoanza kupata faida ndio waanalipa hata kama itakuwa miaka 10 na mfano hai ni mgodi wa LUSU Nzega jamaa wamechimba na madini yameisha wameachana na mgodi huo na hadi wanaondoka walikuwa hawajaanza kulipa kwa kuwa tu hawajapata faida.
 
zzk tulia nyota yako ulijitahidi kuwakabidhi mafisadi, yani zzk akiishiwa tu anatafuta pakutokea.zito hanaga mwisho na haja zake sasa tulia umuachie jemedari DAUDI KAFULILA.
 
Back
Top Bottom