Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
I think this is an extract na summary ya zile docs alizozishusha... kwani wewe hukuziona?Mkuu, article hii umeikuta wapi?
I think this is an extract na summary ya zile docs alizozishusha... kwani wewe hukuziona?
Mkuu VOR.. yaani kuna documents nyingi mpaka kichwa kinauma.. ukichanganya na research inayoendelea... basi data zinazidi.. ila inaonekana kama news article na si court report ndo maana nilifikiri labda ni news ..
Mkuu, kwa hiyo Dowans iliundwa ili kurithi Richmond? Hili andiko latoka wapi mkuu na liliandikwa lini?
Well, tena nimekumbuka itabidi nilifanyie kazi kama wiki mbili zilizopita nilikuwa naangalia One of the National Geographic channel wakonyesha jamaa indonesia wameanzisha wikiliki yao. Especially made for Indonesian scandals. Ntaitafuta hiyo site.
Yea inaitwa Indoleaks.org (contacts: indoleaks@gmail.com), kuna haja ya kupanua mjadala ntakusanya info za hiyo
Mkuu, kwa hiyo Dowans iliundwa ili kurithi Richmond? Hili andiko latoka wapi mkuu na liliandikwa lini?
yes. Kabla ya hapo hakujawahi kuwepo kampuni ya Dowans duniani.
yes. Kabla ya hapo hakujawahi kuwepo kampuni ya Dowans duniani.