Hii sinema tuambieni Sterling ni nani na picha litachukua muda gani kwisha.
Takribani miezi miwili polisi wanahangaika na mtu mmoja ambaye alishajisalimisha polisi peke yake. Hebu polisi na wakuu wenu wa kazi mtuambie wale wahalifu waliovamia vituo vya polisi nchini wameshakamatwa? Mbona kila siku mnamzingira Gwajima ambaye tayari ameshajisalimisha kwenu? Hii sinema tuambieni Sterling ni nani na picha litachukua muda gani kwisha.
Takribani miezi miwili polisi wanahangaika na mtu mmoja ambaye alishajisalimisha polisi peke yake. Hebu polisi na wakuu wenu wa kazi mtuambie wale wahalifu waliovamia vituo vya polisi nchini wameshakamatwa? Mbona kila siku mnamzingira Gwajima ambaye tayari ameshajisalimisha kwenu? Hii sinema tuambieni Sterling ni nani na picha litachukua muda gani kwisha.
Hahahahshaha Polisi wajinga tuTakribani miezi miwili polisi wanahangaika na mtu mmoja ambaye alishajisalimisha polisi peke yake. Hebu polisi na wakuu wenu wa kazi mtuambie wale wahalifu waliovamia vituo vya polisi nchini wameshakamatwa? Mbona kila siku mnamzingira Gwajima ambaye tayari ameshajisalimisha kwenu? Hii sinema tuambieni Sterling ni nani na picha litachukua muda gani kwisha.
Wamejaribu kumtikisa Gwajima ila Gwajima ni jiwe lisilo tikisikaHivi wanajamvi mm nimejiuliza swali hivi walivyotaka nyaraka za helicopta ya kanisa
Walimaanisha nn?
Au badae wangeuliza na nyaraka za bank fulani inayomilikiwa na kanisa fulani ? Pia vp mashule na mahospitali yanayo milikiwa na baadhi ya makanisa nayo yangechunguzwa? Au ni ilikuwa ya Gwajimza tu mzee wa misukule?
Wamejaribu kumtikisa Gwajima ila Gwajima ni jiwe lisilo tikisika
Weee Popo kweli. Kwa wale wanaomiliki Ma-hospitali na mashule nk, akaunti ziko wazi. nenda Bakwata kaulize hesabu za Kinondoni Muslim Sec Sch ziko wazi kila kitu. Nenda TEC ulizia wanamiliki nini utakuta hata list imebandikwa kwenye mbao za matangazo.Hivi wanajamvi mm nimejiuliza swali hivi walivyotaka nyaraka za helicopta ya kanisa
Walimaanisha nn?
Au badae wangeuliza na nyaraka za bank fulani inayomilikiwa na kanisa fulani ? Pia vp mashule na mahospitali yanayo milikiwa na baadhi ya makanisa nayo yangechunguzwa? Au ni ilikuwa ya Gwajimza tu mzee wa misukule?
Weee Popo kweli. Kwa wale wanaomiliki Ma-hospitali na mashule nk, akaunti ziko wazi. nenda Bakwata kaulize hesabu za Kinondoni Muslim Sec Sch ziko wazi kila kitu. Nenda TEC ulizia wanamiliki nini utakuta hata list imebandikwa kwenye mbao za matangazo.
Gwajima anatakiwa kujua kuwa uaskofu wake ni wa hapa hapa si vinginevyo. Kumtukana Pengo ametukana waumini Takribani milioni 15. Tupo nae Gwajima tunamliwaza lakini sasa tutamhacha akafe mwenyewe
Namsikitikia sana Gwajima.Frankly alimu-under stimate Askofu Pengo.He should have known kwamba Askofu Pengo ni mwakilishi wa Pope Tanzania.This means if you fight Pengo you are infact at war with the Pope himself.Kwa jinsi Gwajima alivyo anzisha vita inayoendelea haijui kabisa Vatican!Alidhani Askofu pengo ni askofu tu kama yeye,he is not.Ulishaona wapi dhehebu likawa na balozi katika nchi mbalimbali duniani.Roman Catholic sio dhehebu,it is more than that.Pole Gwajima umeingia choo cha kike.Malkia wa Uingereza na akina Obama wenyewe wanamsujudia, sembuse wewe. Vihela vyako hivyo ulivyopata kwa njia haramu visikutie kiburi ndugu yangu.Kwanza ungekuwa mtu wa kiroho kweli usingemdhalilisha Pengo kama ulivyofanya.Wewe sio mtu wa kiroho kabisa,ngoja sasa shetani akushughulikie,ameshamaliza kazi na wewe.Satan has nothing for free,lazima utalipa.Sasa unalipa.
Huyu Gwajima ni kituko cha mwaka. Nakuhakikishia safari hatapona. Lazima watamsweka lupango zaidi ya mwaka mmoja au miwili kwa makosa mawili. MaKosa ya kumiliki silaha kizembe na kuwaachia mabodigadi wake na kosa la kumtukana Pengo hadharani ndio yatakayomfunga huyo Chizi akanyee debe.
hawamtikisi, wako kaziniWamejaribu kumtikisa Gwajima ila Gwajima ni jiwe lisilo tikisika