Since when is it cool kumuhudumia mwanamke ambae sio mke wako ???

Since when is it cool kumuhudumia mwanamke ambae sio mke wako ???

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,929
Reaction score
37,783
Whats up with us ? Ni kwamba huwa wanatu l(r)oga or what?

Sintatoa matunzo kwa mwanamke ambae si mke wangu wa ndoa.

Ni miezi sita sasa tangu nijiwekee nadhiri ya kutokuhonga. Kiasi cha pesa ambacho nimekitunza kinaweza kutumika kufanya kitu cha maana tu. Nilikuwa natapanya hela zangu.

" Ukiwa muhongaji sana hukawii kulost" ...Mabaga Fresh in their song ' Mtulize' feat Juma Nature ..mwaka 2000.
 
Ukata ukizidi nyumba za ibada zinafurika, mpunga ukitamalaki laki inakuwa si pesa. Masakuu haipo tena siku hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom