Ndio soda pekee OG. Genuine, hizi za plastic tunakunywa feki sana.
Ila kuna siku nimepiga maakuli fresh, kufika mwisho naona kitu cheupe kwenye chupa ya Pepsi, nikajua barafu. Ile namalizia kumbe ni bazoka ( Big G) iliyokua kwenye soda na imetafunwa.
Ilinichefua sana.