Inauma sana aisee!! Dah!:A S angry::A S angry:ni vyema umegundua hilo ukiwa na nguvu zako, sasa badala ya kuwa busy kusononeka, kuwa busy kuplan maisha yako.......... Kama hujajenga chakarika ujenge, kama hujaacha wosia ndo uache sasa, andalia wanao mazingira mazuri......kesho na keshokutwa ujue uko mwenyewe , tengeneza sana kesho yako.............. Huna ndugu hapo
kwenye familia yetu tumezaliwa 6 mimindio wa 6 watoto wotebaba yao ni mmoja kasoro mimi wa mwisho nilizaliwa baadae baada ya mama na baba0kuachana wote tumelelewa na mama tuu tokea utotoni tunaishi vizuri
nashangaa sasahivi wenzangu wanaplan yakujenga nyumbaya ushirikiano wao wa5 kasoro
mimi iwe na vyumba vi5 eti kilamtu chake wakiongeza cha 6 ni kwaalili ya mama basi, sio siri nimejisikia vibaya sana walivyonitenga wote niwatu wazima na tunamaisha yetu lakini kwanini mimi wamenibagua?

kweli inabidi nijipange sana tena kwa machunguShukuru Mungu wamekuonyesha wao ni nani. Achana nao upange yako kivyako kwani wao ni hewa au maji? Kama wameamua kukuonyesha wamekusaidia ingawa inauma. Hivyo ningeshauri ujifanye kama huoni tatizo lolote. Mbele ya safari Mungu atawaumbua amini nakwambia.
naogopahata kuwauliza maana watanijibu mbovu nazani halafu nita0 umia zaidi nimeamua0 kujifanyaPole sana mamito. Ndugu zako ni wale ulio nao karibu, wanaokusikiliza, wanaocheka na wewe, wanaosaidiana na wewe, unaoheshimiana nao........ si lazima uwe umezaliwa nao tumbo moja.
Kwakweli najua unavyoumia. Nimekufariji lakini hata ingenitokea mimi sijui kama ningeweza kuvumilia. Ningewauliza kwanini wananitenga ili wakinijibu mbovu ndio uwe mwisho wa mimi na wao. Ama zao ama zangu!!:majani7::majani7:
nashukuru sana inanibidi nifanye hivyo kwakwelini vyema umegundua hilo ukiwa na nguvu zako, sasa badala ya kuwa busy kusononeka, kuwa busy kuplan maisha yako.......... Kama hujajenga chakarika ujenge, kama hujaacha wosia ndo uache sasa, andalia wanao mazingira mazuri......kesho na keshokutwa ujue uko mwenyewe , tengeneza sana kesho yako.............. Huna ndugu hapo
nashukuru sana king'ast kwa mawazo mazuri umenifungua akili hata nikgwa sipo hawa ndugu watawadhulumuUnajua siri kubwa ya kufanikiwa ni kujipa motisha kwenye issue mbaya. Yaani sasa ndo uwaonyeshe. Tena nunua kiwanja ( wasije wakasema umejenga kiwanja alichonunua baba yao na sio baba yako). Jenga kiself cha maana, kama unaweza weka bedroom mbili na sebule na jiko, ili mamako akija nae alale. Tafuta karibu na mama mahali pa kuitwa home, ama karibu nao ili mkikutanika wewe ulale kwako. Japo wasikuharibie mipango yako. Namaanisha jipange kivyako vyako na usiwakasirikie wala kuwanunia. Ila kwa ndugu wa hivyonujue mirathi ni muhimu tu manake lazma wawadhulumu wanao. Kwa dsm huwezi amini kuandika mirathi ni tshs 100,000/= tuuu, na gharama ya kuitunza RITA ni kama tshs 20,000 kwa mwaka!
nashukuru sana king'ast kwa mawazo mazuri umenifungua akili hata nikgwa sipo hawa ndugu watawadhulumu
watoto wangu
my dear chakarika upate vyako....
Na wosia ni muhimu wanao watadhulumiwa hapo.....
Pia usijimix nao sana, huo muda saka pesa ujenge maisha..........
Ndugu wa namna hiyo hata kwetu wapo (ingawa si tumbo moja) hesabu una magarasa, gangamala usimame mwenyewe