Sina mzaha, ninatafuta mchumba kanda ya ziwa

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
535
328
Nina miaka 27,

Mimi ni mkristo,

Kabila msukuma,

Elimu na kazi km upo tayali nita kuambia.

Nataka awe na miaka isiyo zidi yangu

Awe mkristo kabila sichagui.

Kama upo tayari tafadhari ni PM.

Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom