Sina Mtu

asante best nimeona niwape faraja wale wote wanaopitia katika hali ngumu iwe kuifiwa kama Money Stunna alivyoondokewa na baba mzazi ,iwe kuumwa au migogoro ya ndoa na hata maisha vilevile
Asante sana ladyfurahia,,maneno mazuri sana ya faraja na ya matumaini!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahaaaa umenichekeshaje bestito

mhm! yawezekana ukawa my wiiiii wangu kwa huyo bro wako......!!!!!
unajuaje kama alipitia mlango wa nyuma kunifuata (jokes)


Bestito
huu ni wimbo maalum kwa wale wanaopitia majaribu, matatizo
ni wa kuwafaraji katika kipindi kigumu wanachopitia
kwa sasa bado huko studio tunafanya mix ukishamalizika
tutaleta hapa muuone na kusikia midundo yake

Nimekuja nduki nikazani @ladyfurahia huna mtu kidogo niku recommend kwa bro wangu duh ........
 
hahahahaha ni surprise kwa wale wote wapitiao majaribu, magonjwa, na wapokee uponyaji na baraka tele
 
ungejitahidi kusoma sana utaelewa kiini chake ni nini?
ondoa huo uvuvi kijana, sasa ukifikia makamo yetu ya 56 itakuwaje?

maelezo mengi, afu nimekuwa mvivu kusoma, nimeshindwa kusoma asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…