Sina Mtu


Mkuu ladyfurahia ubarikiwe na bwana tena sana. Hiyo habari ya mtu wa kumtibulia maj birikani kwa mgonjwa kwa miaka 38 nilihubiriwa kwenye mkutano wa injili alhamisi.

Asee umeniinspire sana kama unanikumbusha maneno ya mchungaji alivokuwa anasema.

Namalizia kwa kusema una Yesu kristu. Kimbilio letu

Be blessd ladyfurahia.
 
Duuuh karibia niingie mkenge hiz elimu yetu ya kata bna nikafikiri upo single
 
MIMI NAPITA TU Pia Nina Sema Asante Sana Ladyf urahia aah!! nimekosea kumention ladyfurahia .INGAWA HAPA NILIPO Sina Mtu Naamini Ya Kwamba Ipo Siku Nitakuwa Nina Mtu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…