Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,330
Habari wana jf?am ouky but not happy kwa sababu napenda kupendwa na ninajua kupenda lakini nakuwa very dissappointed kila nikitongozwa nampata mme wa mtu au ndo yupo kwenye maandalizi yakuoa na kuniambia kwamba kwanini hakunijua mapema?ujue najickia vbaya kuwa naliliwa na mvulana kwa kujilaumu kuanzisha uhusiano na mtu mwingine ni kwanini hakunijua mm mapema?
mm ni msichana bado wa miaka ishirin na tano nahitaji kupendwa na mvulana kuanzia miaka ishirini na nane to thirty na anayependa kujishughulisha either mfanya kazi au biashara!mm ninafanya kazi kwenye compun fulan hapahapa Tanzania! elimu yangu ni degree nina ndoto ya kuendel;ea na shule!
Jamani kuyasema haya yote nilikuwa nataka ushauri ni wapi nakosea mpaka nakutana na vijana wenzangu waliooa au wanakaribia lakni wanakuwa wana true love to me na sometimes kuniambia kwamba niwe nao kwenye mahusiano na nikubali kuzaa nae atawajibika kila kitu lakini cpendi hivyo kwa sababu naamini hakuna upendo unaoweza kugawanywa nakuwa very disturbed ma frends!
kingine nikipenda napenda kupendwa na kuheshimiwa pia like weekend tuspend together tukiangalia maisha na mipango mikakati ya kuwa na familia baadae!NAOMBENI USHAURI LABDA UTANISAIDIA HII INANIHUSU MM JAMEN CO MA SISY AGAIN.
Embu nijbu hapa!
Umezaliwa mwezi gani?
Ikiwa ni ndani ya tarehe hizi: 23/7 to 22/8 or 25 ya mwezi wowote pole!