sina mpenzi jamani nikitongozwa utakuta ni kijana either anataka kuoa au ameshaoa naomba ushauri

Habari wana jf?am ouky but not happy kwa sababu napenda kupendwa na ninajua kupenda lakini nakuwa very dissappointed kila nikitongozwa nampata mme wa mtu au ndo yupo kwenye maandalizi yakuoa na kuniambia kwamba kwanini hakunijua mapema?ujue najickia vbaya kuwa naliliwa na mvulana kwa kujilaumu kuanzisha uhusiano na mtu mwingine ni kwanini hakunijua mm mapema?

mm ni msichana bado wa miaka ishirin na tano nahitaji kupendwa na mvulana kuanzia miaka ishirini na nane to thirty na anayependa kujishughulisha either mfanya kazi au biashara!mm ninafanya kazi kwenye compun fulan hapahapa Tanzania! elimu yangu ni degree nina ndoto ya kuendel;ea na shule!

Jamani kuyasema haya yote nilikuwa nataka ushauri ni wapi nakosea mpaka nakutana na vijana wenzangu waliooa au wanakaribia lakni wanakuwa wana true love to me na sometimes kuniambia kwamba niwe nao kwenye mahusiano na nikubali kuzaa nae atawajibika kila kitu lakini cpendi hivyo kwa sababu naamini hakuna upendo unaoweza kugawanywa nakuwa very disturbed ma frends!

kingine nikipenda napenda kupendwa na kuheshimiwa pia like weekend tuspend together tukiangalia maisha na mipango mikakati ya kuwa na familia baadae!NAOMBENI USHAURI LABDA UTANISAIDIA HII INANIHUSU MM JAMEN CO MA SISY AGAIN.

Embu nijbu hapa!
Umezaliwa mwezi gani?
Ikiwa ni ndani ya tarehe hizi: 23/7 to 22/8 or 25 ya mwezi wowote pole!
 
Sifa ulizotaja ninazo na nimependa unajieleza vizuri tatizo mama aliniambia nisione ukoo wa kina Pinda au Wasira. Nisaidie hata picha tu then nifanye maamuzi sahihi!!!
Isijekuwa tatizo pia ni hilo maana vijana wa leo tunachagua sana,tukitoka out mawifi zako wakina Madame B ,@lara1, amu wasinicheke bure

msaidie kijana mwenzako
 
Last edited by a moderator:

duuu hiyo kali am more than cute!but unaonekana nawe utanipasua kichwa accrding to ua weds !hujasimama wewe kama wewe bado !another advice
 
Last edited by a moderator:
Sikia ushauri huu msichana wee!!! Kwa bandiko hili naamini utapata pm za kutosha humu! Be careful!!! Then acha mawazo mgando kuwa ukiwa na mpenzi utakuwa na furaha ya milele!! Imekuwaje haupo na huyo uliyekuwa naye?? Acha papara maisha ni zaidi ya kuwa na mpenzi!! Cha msingi jiweke katika mazingira mazuri,muombe mungu wako akupe sawa na hitaji lako!! Usikubali hao waume za watu wakuchezee utaishia kuwa nyumba ndogo ndoa utaskia kwa wenzako! Kila kitu huja kwa wakati wake,wakati wako bado usiforce mambo!!

Kumbe ukitulia unatoaga maushauri ya maana.........

yaani umeongea hasaa...Thumbs UP...
 
Kumbe ukitulia unatoaga maushauri ya maana.........

yaani umeongea hasaa...Thumbs UP...

ahsante rafiki exactly i will work for ua advice since this time cio cri i need to get ma marrage with only n love one for me!thank nc and gud advice i catch it
 
unataka ushaur au unataka kutongozwa humu?watu kama nyie nawajua ni sex-craving creatures tu mnatafuta sexmates humu in the disguise ya kuinvoke pity,tena multiple dudes at a time na mkishapata mnachotaka huwa mnakuwa wakatili hakuna mfano. Wakati huo mumewaharibia innocent/naive young men 'uvulana' wao, mmeinjure their feelings and off you flee!-giving no ---- abt it! To hell!

acha fikra chafuu rafiki tupo kupata ushari na maoni kama mezoea kupopst ujinga na kukuruppuka cio wote kaka haya ni maisha na matatizo yapo so soma story nzima ndo uccoment!
 
Hao unaokutana nao hawajakupenda vizuri, wangekupenda kwa dhati wangevunja hayo mahusiono yao waje kwako jumla. Usikate tamaa, utampata the right candidate at the right time. Mshirikishe mungu pia kwani hapo ndo mwanzo wa kuharibu au kujenga future yako.

thats true cjawapa nafasi ingawaje huyo mmoja alitaka asimamishe shughuli nzima akiwa kikao cha mwisho akaniomba nimshauri nikwambia it better to proceed with his programme may be GOd ha a goal with his marriadge before me bac allilia akajilaum na mpaka cku ya ndoa yake jion alinipigia cmu ni mengi xana cjaweza elezea yoteee.
 
Habari wana jf?am ouky but not happy kwa sababu napenda kupendwa na ninajua kupenda lakini nakuwa very dissappointed kila nikitongozwa nampata mme wa mtu au ndo yupo kwenye maandalizi yakuoa na kuniambia kwamba kwanini hakunijua mapema?ujue najickia vbaya kuwa naliliwa na mvulana kwa kujilaumu kuanzisha uhusiano na mtu mwingine ni kwanini hakunijua mm mapema?

mm ni msichana bado wa miaka ishirin na tano nahitaji kupendwa na mvulana kuanzia miaka ishirini na nane to thirty na anayependa kujishughulisha either mfanya kazi au biashara!mm ninafanya kazi kwenye compun fulan hapahapa Tanzania! elimu yangu ni degree nina ndoto ya kuendel;ea na shule!

Jamani kuyasema haya yote nilikuwa nataka ushauri ni wapi nakosea mpaka nakutana na vijana wenzangu waliooa au wanakaribia lakni wanakuwa wana true love to me na sometimes kuniambia kwamba niwe nao kwenye mahusiano na nikubali kuzaa nae atawajibika kila kitu lakini cpendi hivyo kwa sababu naamini hakuna upendo unaoweza kugawanywa nakuwa very disturbed ma frends!

kingine nikipenda napenda kupendwa na kuheshimiwa pia like weekend tuspend together tukiangalia maisha na mipango mikakati ya kuwa na familia baadae!NAOMBENI USHAURI LABDA UTANISAIDIA HII INANIHUSU MM JAMEN CO MA SISY AGAIN.

HIZO SIFA UNAZO: MWEUPE ( WEUPE SIO KUPINDUKIA BILA KUJICHUBUA), MREFU KIASI, MNENE KIASI, SURA YENYE AKILI, INYEE YA KUELEWEKA, ISIZIDI), KUTOKA, NI MCHAGA, AU MSUKUMA, --- MWENYE UWEZO WA KUZICONTROL HASIRA, MVUMILIVU, ANAYEJIAMINI, ASIWE MPOLE, ILE AWE NA NIDHAMU, HAPO UKIFIKA RUSHA SIFA. staki kutoa namba ya simu watapiga na wsiostahili , toa yako yako kama una sifa hizo, hapo kuna jamaa anatafuta mchumba, kwa hiyo we jitoe kama una sifa hizo, we si unataka, kama humaindi poa.
 
Kwani wewe unataka mume au unatafuta mtu wa kukutom** tu?.,nauliza tu ili nijipime kabla sijatupia neno.
 
Sikia ushauri huu msichana wee!!! Kwa bandiko hili naamini utapata pm za kutosha humu! Be careful!!! Then acha mawazo mgando kuwa ukiwa na mpenzi utakuwa na furaha ya milele!! Imekuwaje haupo na huyo uliyekuwa naye?? Acha papara maisha ni zaidi ya kuwa na mpenzi!! Cha msingi jiweke katika mazingira mazuri,muombe mungu wako akupe sawa na hitaji lako!! Usikubali hao waume za watu wakuchezee utaishia kuwa nyumba ndogo ndoa utaskia kwa wenzako! Kila kitu huja kwa wakati wake,wakati wako bado usiforce mambo!!

Hapo umeongea point, vijana wanaamini kwamba hawawezi kuenjoy au kufurahi pasipo kuwa na wapenzi, inabidi watu tujifunze kuwa na maisha ya furaha kabla ya kuwa na wapenzi then ukishapata mpenzi furaha iendelee kushamiri kwa kumfurahisha na kufurahishwa na mpenzi wako. Sasa unaishi maisha yasiyokuwa na furaha kabla ya kuwa na mpenzi unategemea ukimpata huyo mpenzi utampa furaha au utaenjoy nae nn. Raha jipe mwenyewe kwanza mpenzi yeye anakuja kuongeza tu, mwenye nacho huzidishiwa ati.
 
Mh sasa 25 walalAma kuwa hujapata mtu?muda mwingine sisi wadada tuna matatizo we over select n over expect a man cant have all those we need and demand,
comming back kwa topic ina maana we huko shule miaka 3 za degree hujawahi pata kijana akuambie mambo?kama ni lah yur number 1 problem sasa hapo yu need be slow and wait kwahyo perfect match yako ije unless ul force the unforceable
Take time life is not all about marriage bhana kuna much to enjoy(soma post ya #lara1 )
co kwamba nakushauri ucolewe lahasha a ring will come automatically yu wont stress out for t itakuja tuu uki stress ring wallah maisha yatakua tabuu
 
FANYA MAPINDUZI BIBI DADA!!!!!!!!!!!!! HMNA MWANAUME WAKO PEKE YAKO DUNIA YA LEO!!!!!!!!!!!! Mwendo wa kubanana hapo hapo ndo mpango mzima! Usipokubaliana na hilo utamaliza mabucha nyama ni ileile!

Come to think of it huyo mtu awe single anakungojea wewe ama???????? Thubutuuuuuuuuu!

We ingia mahali kama second hand, fanya MAVITUZ yako hadi UPINDUE SERIKALI KUU! Habari ndo hio!

aaah... umenifundisha. kuna boya mmoja ana demu mkali kweli. ngoja nianze kufanya mapinduzi. nahakikisha funguo zote za kwangu anamiliki yeye.
 
hao wote wanaokupenda wanakubandua halafu wanakuacha solemba, basi unaliwa na wengi. mimi ni mwanaume, unachotakiwa kuelewa kuhusu wanaume ni kwamba, kila mwanamke wanayemlamba huwa wanamwambia kuwa " nilikuwa wapi ningejua ningekuoa wewe nilichelewa wapi kukujua mapema" mkimaliza game au akiwa mbali nawe anakutema mate kabisa. usijipe moyo saaana kuwa unawapagawisha wanaume, nyie wanawake ni warahisi sana kudangaywa ndio maana sisi wanaume huwa tunawadanganya kuwa mmetupagawisha kiasi kwamba tunajilaumu tulichelewa wapi kuwapata kumbe changa la macho.

nimetembea na wanawake wengi sana hadi najiona mchafu saa zingine, warefu, wafupi, wanene, wembamba hadi wa kutisha, wazuri wabaya weupe weusi,wabongo, maforena etc. lakini nimekuja kujua kuwa "WANAWAKE WOTE WAKO SAWA TU", sura tu ndio zinatofautiana ila kule chini wako sawa kabisa hawanaga tofauti yeyote. mbunye zao wote zimenuna na zina sura ileile tu, tofauti yake ni kuwa wapo wale wasiojitunza ambao zimesasambuliwa kiasi cha kupoteza mbanano, na wale waliojitunza kiasi kwamba utafikiri wametolewa bikra jana regardless of their age. kuna wengine wameshazaa, na waliongezewa njia lakini wamerudi utafikiri hawajawahi kuzaa kutokana na kujitunza.

lakini sisi wanaume, kwa wanawake woote hawa tukikutana nao huwa tunawadanganya kuwa "wewe ni bora kuliko wote nilichelewa wapi kukupata". as for me, the only one nawezamwambia maneno haya ni MKE WANGU, kwasababu cha kwanza si mbunye yake, ni MOYO wake na upendo wake kwangu ndio vinanikosha roho na kunifanya niishi kwa furaha na kumpenda zaidi, yale majamboz naye ninajua yeye amejitunza/nilimbikiri, na ni mlokoke anayemheshimu Mungu mno, yale mambo si namba moja, kwasababu kama angenitibua moyo akawa hanipendi, hata kama ananipa mambo vizuri sana ningetoka tu nje ya ndoa nikatafuta anayetuliza moyo wangu. uzuri wake yeye pekee ndio ameushika moyo wangu kwa upendo na heshima ndio maana wanawake woote ninaowaona barabarani naona kiwango chao kiko chini kuliko mke wangu, wife amepiga bao wote hao.

usijipe moyo, wanawake msijipe moyo kwa maneo mnayoambiwa na wanaume, hasa wakiwa juu ya vifua vyenu au wakati wanabembeleza kupewa tunda, maneno mengine huwa yanatoka mdomoni sio moyoni.
 
Habari wana jf?am ouky but not happy kwa sababu napenda kupendwa na ninajua kupenda lakini nakuwa very dissappointed kila nikitongozwa nampata mme wa mtu au ndo yupo kwenye maandalizi yakuoa na kuniambia kwamba kwanini hakunijua mapema?ujue najickia vbaya kuwa naliliwa na mvulana kwa kujilaumu kuanzisha uhusiano na mtu mwingine ni kwanini hakunijua mm mapema?

mm ni msichana bado wa miaka ishirin na tano nahitaji kupendwa na mvulana kuanzia miaka ishirini na nane to thirty na anayependa kujishughulisha either mfanya kazi au biashara!mm ninafanya kazi kwenye compun fulan hapahapa Tanzania! elimu yangu ni degree nina ndoto ya kuendel;ea na shule!

Jamani kuyasema haya yote nilikuwa nataka ushauri ni wapi nakosea mpaka nakutana na vijana wenzangu waliooa au wanakaribia lakni wanakuwa wana true love to me na sometimes kuniambia kwamba niwe nao kwenye mahusiano na nikubali kuzaa nae atawajibika kila kitu lakini cpendi hivyo kwa sababu naamini hakuna upendo unaoweza kugawanywa nakuwa very disturbed ma frends!
Dada unachanganya upendo na mapenzi
Mapenzi huwezi kuyagawanya,upendo ni kwa kila mtu

Ungetuambia hapa ni kivipi unawapata hao wapenzi ningeweza kukushauri
Sijui kama una siku nyingi kidogo hapa,lakini niliwahi kusema kuwa nyie mabint mliosoma kidogo hivyo mna matatizo sana,elimu hiyo imewaharibu,mnatengeneza aina ya wanaume ambao mnataka muwe nao na kibaya zaidi aina ya wanaume mnaokuwa mmewatengeneza kwenye fikra zenu mara nyingi wanakuwa wameoa kutokana na aina ya maisha wanayokuwa nayo

Usitake upate shamba ambalo limeshapandwa mazao na wewe usubiri kuvuna tu
Hakuna shamba la aina hiyo

kingine nikipenda napenda kupendwa na kuheshimiwa pia like weekend tuspend together tukiangalia maisha na mipango mikakati ya kuwa na familia baadae!NAOMBENI USHAURI LABDA UTANISAIDIA HII INANIHUSU MM JAMEN CO MA SISY AGAIN.
Dada hebu kajifunze kujipenda kwanza
Nakuambia hivyo kwa sababu hakuna mtu ambae atakupenda kama wewe unavyotarajia,huyo unaetarajia ukupende nae anatarajia hivyohivyo kutoka kwako

Utakaa kila siku ukitafuta mtu wa aina hii na hutompata kamwe

Jipende na usitake mtu mwingine akukamilishe kwa sababu inaonekana wewe una njaa kubwa sana ya kupendwa kiasi kwamba unajisikia kama hufai kwa kutopata mtu wa kukupenda!
 
Sikia ushauri huu msichana wee!!! Kwa bandiko hili naamini utapata pm za kutosha humu! Be careful!!! Then acha mawazo mgando kuwa ukiwa na mpenzi utakuwa na furaha ya milele!! Imekuwaje haupo na huyo uliyekuwa naye?? Acha papara maisha ni zaidi ya kuwa na mpenzi!! Cha msingi jiweke katika mazingira mazuri,muombe mungu wako akupe sawa na hitaji lako!! Usikubali hao waume za watu wakuchezee utaishia kuwa nyumba ndogo ndoa utaskia kwa wenzako! Kila kitu huja kwa wakati wake,wakati wako bado usiforce mambo!!

Hivi huyu anatafuta mchuma au anataka ushauri?
 
Back
Top Bottom