Tumekuwa pamoja kwa muda sasa. Nikijaribu kumsoma na kuona ndie anaenifaa lkn tatizo linakuja pale ambapo nimejaribu kujua juu ya uhusiano wake wa zamani. Sababu zilizopelekea kuachana na vitu la izo.
Yy anaenda kusoma chuo nje ya Nchi, cha kushangaza mapenzi yamekuwa matamu Sana kwake.
Moja ya sababu alizonipa kuhusu kuchana na mpenzi wake wa zaman ni umbali mmoja yuko Malaysia na mwingine bongo.
Najaribu kutafakari naona Kama the same thing will happen to me. Na ni kawa nimepigwa chenga la macho,
Nahisi kudanganywa sina imani naye, nifanyeje..?
bora akuache, mana we mwenyew uko mbali kiakili!! unaanzaje kumulza background yake mpz wako.... we ulvyokuta endeleza, ukishindwa achaa!!
wabheja sana...nlimuhadithia the so called my baby past yangu yani NAJUTRAAAAAAAAAA...
wabheja sana...nlimuhadithia the so called my baby past yangu yani NAJUTRAAAAAAAAAA...
Tumekuwa pamoja kwa muda sasa. Nikijaribu kumsoma na kuona ndie anaenifaa lkn tatizo linakuja pale ambapo nimejaribu kujua juu ya uhusiano wake wa zamani. Sababu zilizopelekea kuachana na vitu la izo.
Yeye anaenda kusoma chuo nje ya Nchi, cha kushangaza mapenzi yamekuwa matamu Sana kwake.
Moja ya sababu alizonipa kuhusu kuchana na mpenzi wake wa zaman ni umbali mmoja yuko Malaysia na mwingine bongo.
Najaribu kutafakari naona Kama the same thing will happen to me.
Na ni kawa nimepigwa chenga la macho.
Nahisi kudanganywa sina imani naye, nifanyeje?

Inaonesha ungali mdogo wewe ndio maana umeshindwa hata kudiskasi haya unayotuambia na huyo mpenzi wako...