Sina hisia na mwandani wangu

Sina hisia na mwandani wangu

sirmudy

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
386
Reaction score
119
Habari ya wakati huu wana Jamie forum

Mm ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja. Ndo yangu imefikisha miaka miwili siku so nyingi zilizopita. Nimejikuta tu simpendi mke wangu kutokana na vijitabia fulani hv ambavyo vimesababisha kupunguza mapenzi kwake, na kusababisha kutokuwa na intimacy nae. Lkn sio hivyo tu, hanivutii kabisa kwa sasa kutokana na mtiririko wa vituko vilivyozidi vya ndani ya ndoa. Vituko hivyo ni km ifuatavyo(kwa ufupi);

1. Ni mwanamke mchafu,na asiependa kurekebishwa,yaaani ukimwambia kitu cha kumrekebisha anaona km unamuonea.

2. Ni mvivu wa fikra za maendeleo, ukimshauri kuhusu maendeleo analeta vitu vingine kabisa.

3. Yuko na matumizi makubwa yasiyo na maana , kiasi ambacho unaifkiria mara 2 , kwa nn umeoa.

4. Cha ajabu kitandani si riziki nae kabisa, she z too heavy to handle.

5. N.a. mengine mengineyo, kiasi ambacho sitamani hata kurudi home mapema kwa kuwa ni vitu vingi vinanikera kutoka kwake.


Naombeni ushauri juu ya hili. I don't enjoy life kabisa kwa kuwa nae huyu kiumbe.

NB: km hujawah kuishi na mtu au hujaoa/ kuolewa ni bora upite tu, usicomment.


Nakaribisha ushauri...ni serious case


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni tatizo kubwa la wanawake
Wanadhani wanaume tunataka vikojoleo vyao tu (ni kweli kama vijana)
Ila linapokuja swala la mahusiano ya mda mrefu na tushawaonja inahitaji akili ya ziada kudumu
 
Nimepita ivi..

However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Mkuu....expectation zimeenda kinyume na nilivyotarajia. Niko ktk dimbwi la mawazo mnooo, kiasi ambacho huwa naishia kuuumia kwa mawazo
Hilo ni tatizo kubwa la wanawake
Wanadhani wanaume tunataka vikojoleo vyao tu (ni kweli kama vijana)
Ila linapokuja swala la mahusiano ya mda mrefu na tushawaonja inahitaji akili ya ziada kudumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom