Nilikupenda sana Emmanuel lakini katu hukuthamini penzi langu,ulipoumwa nilikubembeleza kwa maneno matamu uone jinsi gani nakujali na kukutakia uzima,ulipokasirishwa kazini bado nlikutia moyo,maumivu yako pia niliyabeba ili kukupnguzia uzito lakini wewe hukuthamini penzi langu katu..mapenzi yako kwangu yalishuka kila siku hupigi simu hadi nipige,tunaishi Dsm hii wote lakini inapita hata miezi 3-4 hatuonani hadi nibembeleze sana,kila nilichokuomba ulidai huna ilihali ulkuwa navyo.
Miaka yako 32 ilinifanya mwanzoni nkuone nmepata kuwa utawaza familia kumbe umri so tabia...machozi yangu hukuyajali wala kunithamini,nilikupenda sana emmanuel mwezi uliopita nilikutamkia tuachane nikajua ni gia ya kukubadilisha ndo kwanza ukasema nenda ili uendelee na wanawake wengine..(wanaume wapendeni wanawake wanaoonyesha kuwapenda kwa moyo kwani mtakuja kujuta baadaye)hyu niliyempenda hakunithamini ipo siku atanikumbuka..
Pole sana lkn kwa upande mwingne mshukuru MUNGU angekuoa afu ikawa ivo ungeumia zaid move on sis utapata atakae kupenda kwa dhati,pliz usivunjwe moyo na wasiojua kupendwa...
Pole sana prettydiva. Kuna siku bibi aliniambia kuna baadhi ya wanaume ni kama mbwa tu. Yaani unaweza kuwa na mbwa wako ukamhudumia vizuri na ukampa chakula kizuri tu, mbwa hula na anashukuru sana lakini pia akitoka nje hata akikuta mavi ya mtoto huyo mbwa atakula na kushukuru sana vilevile.
NB:
1. Samehe, kung'uta mavumbi, songa mbele. Yupo wa kwako Mungu aliyekuandalia. I believe you deserve the best.
2. Jiweke busy na shughuli zako za maendeleo, mazoezi, na kitu unachopendelea utamsahau tu.
3. Usagawe tena papuchi hadi ufunge ndoa.
4. Usikubali mahusiano ya bf/gf ya muda mrefu yasiyokuwa na mwelekeo wa maisha yenu ya baadaye.
5. Sio wanaume wote wako hivyo, wapo wazuri wasiokuwa na tabia kama za Emmanuel.
Always remember that your present situation is not your final destination. The best is yet to come!
Pole...ukianguka unajikunguta vumbi na maisha yanaendelea!
Nimesikia kilio chake..will work on it..lol!
Forgive and forget