Sina Hamu na Mademu wa mtandaoni

niliisomaga muda hiii hadithi sema nini wewe umejifanya kubadilisha na kuongeza uhusika wako
 
Hii chai imezidi majani hadi kunywa imekua chungu sana
 
Maisha ya sasa ukitak kitonga lazima utumike vizur.sasa we chuvin utak kwend una haki ya kupigw chini
 
Loh!!!!!! wanaume mnapenda sana kulelewa, wewe kazi yako kukaribishwa tu kwa wanawake wewe huna nyumba??????? mmmh!!!!! hata wanaume wa mitandaoni ni mario fulani kumbe.
Huyo ni wakiume......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…