Sina bahati ya kupendwa!

Kwa Dunia ya leo ilivyo.
Tafuta Mubenzi atakaekupenda wewe na sio wewe umpende maana ukimchukua uliempenda zaidi itakua kila siku wewe roho kama tai.
Usijifanye mpana kama kanzu tafuta wa saizi yako ndugu.
Mambo ya kufakamia watu unaodhani ni the most popular acha.
 

Perfomance yako kiwanjani ikoje? Na je, kitendea kazi chako kinatosha? Hebu weka picha kwanza tuone. Unajua wasichana wengi hawapendi wanaume 'goigoi' na hawapendi 'kuchezewa'. Tafakari, chukua hatua!
 
Where hav you been? Uko unasaka orijino iliyochakachuliwa?


BTW, nime-advance siku hizi, I do aura reading pia, so if you want to see your future katika mahusiano, nione.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…