Nasoro Namuchi
Member
- Nov 23, 2018
- 58
- 47
Kazi ya baba umeandikaje?Ndugu wana jf.
Nimeomba mkopo elmu ya juu mwaka wa pili ila nimekosa. Na nilisoma private advanced level.
Je? kuna msaada ambao naweza upata ili nipate mkopo?. kama utakuwepo naomba msaada namba 0784735106
Pole Sikilizia Batch 2Amefariki.
AtasomajeMungu anakuponywa na watakaokunywa jasho lako mbeleni
Katoe sadaka ya shukrani church
Apambane hapo amefika?Atasomaje
Ambatanisha vyeti vya vifo vya wazaz wawil hta kwa kufoj vyenye muhur wa Rita,,pia km umesoma private faida ni kubwa nenda shule uliyo soma uombe barua ya kua umesomeshwa hpo yaan ya ufadhili then ambatanisha kitu rahc,,bt subir pg 655 na kuendelea hazionesh majina subir walete uangaliaNdugu wana jf.
Nimeomba mkopo elmu ya juu mwaka wa pili ila nimekosa. Na nilisoma private advanced level.
Je? kuna msaada ambao naweza upata ili nipate mkopo?. kama utakuwepo naomba msaada namba 0784735106
Kwel kuna batch 3 mbeleMkuu msaada wa kwanza unaoutaka ni kuondoa hiyo mentality uliyonayo
"sina bahati au nina gundu "
Itakugharimu sana mbeleni hata kutoboa katika life kama utaendelea kuamini katika bahati na masuala ya mikosi.
Change your attitude.
Msaada wa pili ndo suala la mkopo :-
Majina ndo yametoka batch ya kwanza so kuna batch zinakuja zinaweza fika hata tatu au nne hivyo kuwa mvumilivu, wife nilimfanyia application mwaka jana batch ya kwanza hakuwepo nikakuambia mama usikate tamaa bado nafasi ipo, batch ya pili hayupo, batch ya tatu ndo alikuja kufanikisha alifurahi na nilipata vyote sikuhiyo (mengine hupaswi kujua bwana mdogo). Hivyo kiujumla usikate tamaa pale unapoona mambo hayaendi kama ulivyotegemea haina maana yatakuwa hivyo milele.
Be courageous, everything gonna be alright.
Ambatanisha vyeti vya vifo vya wazaz wawil hta kwa kufoj vyenye muhur wa Rita,,pia km umesoma private faida ni kubwa nenda shule uliyo soma uombe barua ya kua umesomeshwa hpo yaan ya ufadhili then ambatanisha kitu rahc,,bt subir pg 655 na kuendelea hazionesh majina subir walete uangalia
Mpaka nane zinafika.Kwel kuna batch 3 mbele
yale ndio majina yote ya awamu ya kwanza , zipo page 653 zenye majina na kila page ina majina 47 kasoro page ya 653 ina majina 34.ukipiga hesabu hapo utaona inakuja hio 30k..Kuanzia page ya 655
Ni zile ambazo zilibakia mwisho kwa page za mwanzo zenye majina.
Wakati wa kuprint huenda kutokana na nafasi kuwa ndogo ndio maana ikakata baadhi ya maneno.
Ndio maana nilikuwa namwambia huyo hivyo.yale ndio majina yote ya awamu ya kwanza , zipo page 653 zenye majina na kila page ina majina 47 kasoro page ya 653 ina majina 34.ukipiga hesabu hapo utaona inakuja hio 30k..
ni kweli wakati wa kuprint/ save as pdf haikutosha ndio mana imekata hizo 2019/ 2020 lakin watu hawakuelewa walidhan ni blank page..
Hii njia nilimpaga dogo langu. ,alisoma private, akapata mkopo safi kabisaAmbatanisha vyeti vya vifo vya wazaz wawil hta kwa kufoj vyenye muhur wa Rita,,pia km umesoma private faida ni kubwa nenda shule uliyo soma uombe barua ya kua umesomeshwa hpo yaan ya ufadhili then ambatanisha kitu rahc,,bt subir pg 655 na kuendelea hazionesh majina subir walete uangalia
Hii imetutoa wengi kakaHii njia nilimpaga dogo langu. ,alisoma private, akapata mkopo safi kabisa
Sijui kwann watu hawajiongezagi,
Mm kwenye ishu za kufoji nipo fasta sana
Hii njia nilimpaga dogo langu. ,alisoma private, akapata mkopo safi kabisa
Sijui kwann watu hawajiongezagi,
Mm kwenye ishu za kufoji nipo fasta sana