Mwanaume wangu amekua akiniimbia kuniolea mke mdogo eti mara oooh nataka kuzaa mtoto mwingne ili walingane nahuyu wamienzi miwili mara hoo sijui iliakusaidie anayumba yumba simwelewi na mara nying amekua akinitajia maex zake licha yakuto kujiona ni mzee sasa.Nikimpa ruksa yakuchepuka anakasirika nikimwambia nipo tear ukinichoka tuachane anakasirika jaman nimwelewe vip mtu kama huyu
NOTE :kanipita miaka kumi na ninampenda ila nipotear kwalolote tukiachana sawa tu maisha bado yapo ila sijui nimwelewe vepe.
Wakubwa mtu kama huyu yupo kwenye kundigan WIVU AU