i can say yes mkuu cuz imeshanitokea,niliumia sana cuz niliamua kumfanya huyo binadamu km sehemu ya maisha yng mwisho wa siku nikaonekana sina thamani mbele ya macho yake nikatupwa,yakafuatia maumivu makali na ugonjwa wa moyo kwa zaidi ya miezi miwili,siku zikaja siku zikaenda miezi na miaka sasa nimesahau,hivyo ata huyu nilie nae sitegemei makubwa sana kutoka kwake wala sijampenda km yule niliekuwa nae before kwa kuhofia maumivu tena,siunajua binadamu hawaeleweki?hivyo lazima tuwe na kiasi.