Simwelewi mpenzi wangu

Kibuti hicho kimeshanuka Babycute. Tuendelee kufarijiani humu JF.
 
Mmmnh.... Akufukuzaye hakwambii toka...!
 
ulishagegedwa wewe.....tafuta gegedo jipya
 
Umetemwa mdogo wangu, Jikaze usimpigie tena wala usitume sms ukiwezekana namba yaki iblock.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 

achana nae keshapata mwingine huyoooo
 
Fanya hivi: distance yourself, usimpigie wala kumtext hata kama unahamu vipi. Jizuie. Anza zoezi la kujithaminisha, tambua your worth na ujipende kabla hujaseek kupendwa
 
Ushauri mnaoomba unaboa?
Hapo maamuzi unayo mwenyew ukitaka endelea naye ukitaka achana naye.
Mnatuchosha kweli si mlipendana wenyew? Kwan kuna mtu aliwaunganisha? Na kwann leo uje kwetu ambao hata hatukuweko?
Kokap

na mara nyingi wanaoomba ushauri wa namna hii huwa wanakuwa wana majibu tayari,,,,,, ila wanataka kutuchosha tu,,,,,,,
 

[QUOTE=Babycute;
Kuna sababu nyingi, its either: 1.Amesikia fununu fulani kuhusiana na wewe na ameudhika.
2. Anahisi una uhusiano wa magendo na hana uhakika halafu kukuuliza anashindwa.
3. Hakutaki na anashindwa aanze vipi kukupa ukweli huo na anataka usome alama wewe mwenyewe.
4. Una maudhi kitabia; kauli mbaya, ghubu, dharau, kuflirt na watu mbele yake, matumizi mabovu ya pesa, na nyingine unajua wewe.
5. Ana uhusiano na mtu mwingine na hana uhakika nao kwa sababu hajaconfirm uelekeo wa uhusiano wake mpya.
Cha kufanya, kaa kimya endelea na mambo yako usimtafute. Kaa hata mwezi na akijirudisha muulize tatizo lilikuwa nini. Endapo mtaridhia, mkapime kuona kama mmoja wenu ana shoti ndipo muendelee.
 
Shina la mahusiano ni mawasiliano kati ya wapendanao....ndio maana kila siku tunaweka xtreem katika visimu vyetu ili tupate kuwasiliana na wale tuwapendao.....
Sasa ikiwa mwenzio hataki mawasiliano na wewe lazima kuna jambo na sio dogo.....
Jambo la msingi ni kumtafuta ana kwa ana na kulizungumzia kwa kina.....
Otherwise chapa lapa
 
anatumia njia hii kukuacha ili baadae iwe rahisi kukurudia kama yakimkuta ya kumkuta.......sasa wew chapa lapa endelea na maisha yako......
 
Umeachwa ukiona hvo la muhimu achana nae ingawa itakuchukua muda kuzoea ila jilazimishe utazoea bila shaka,Ndo mapenzi yalivyo na kibaya akishakula mzigo
 
Pole nadhani naweza kusema kua umempenda akajua au hakutaka mapenzi yakuendelea kama ulivyo dhani wewe,kumbuka kua unaweza kumpeleka Mbuzi mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji,sasa basi jikaze na fanya iwe somo kwako,na utakae mpata mwengine usibwage moyo ukadhani umefika kaa kimitego mitego,huyo usimpigie cm wala sms tulia kimnya kwani kimnya nacho dawa...........
 
Be strong mpotezee kwa muda futa namba zake ondoa kila kitu kinachokufanya umkumbuke.akikutafuta poa asipokutafuta achana nae unajua hay a mapenz unaweza kupoteza mda unawaza weee na kulia juu.lakini mwenzio huku anakula bata so life is short usiruhusu mtu apoteze furaha yako.find something productive to keep u busy na jichanganye na marafiki slowly utasahau na utapata mwingine
 
Njoo Pm nikupe ushauri wa Kitaaalam zaidi
 
uwiiiii dada hio ndio funga mwaka fanya fasta uanze mwaka mpya bila stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…